Pale alipo ad-lib kuhusu Maria Nyerere kachemka kwenye grammar.
anacheka msibani kama kawaida yake baada ya kupigiwa makifi,he is emotionless unlike banda..great speech though
JK anacheka hajui yuko kwenye msiba.
Anamtania Tabu Mbeki kuwa hana uhakika kama alirudisha ya kwake (passport)...
Citezen television ya kenya wamesitistisha kurusha live baada ya kumwona Jk,jamani hawa wa kenya uwivu utawamaliza
Waandaaji wa speech za rais wetu ni dhaifu. hotuba inaonesha zaidi matukio kuliko kuuleza undani wa matukio hayo na uhusiano na tukio la leo katika nyanja za diplomasia na uchumi.
anacheka msibani kama kawaida yake baada ya kupigiwa makifi,he is emotionless unlike banda..great speech though
Kutokua na elimu kubaya sana, mama wa taifa nyerere angekua anajiweza hata kwa lugha tu angepewa nafasi ya kuhutubia leo