Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manyumbuuuzz. Je leo mtaweza kukomaa na mamacita awaachie points zenu 3? Au mtamwachia aendeleze ubabe jijini Manchester?
Kiuwezo kwa sasa Mamacita kashindikanika, bila kupepesa maneno hatumuwezi.
Ila kiheshima, sisi bado heshima yetu ikojuu, hivyo sitegemei kua wachezaji wetu watakubali kuishusha heshima yetu, hivyo patachimbika - afe konda, afe mpiga debe- kazi itakua ngumu.
 
Umetuchanganya ka Livakuku mkuu. Mbona sisi watu simple tena peace sana?
Nyinyi munatakiwa mubaki hapo hapo mpaka sisi pombe ikitutoka.
Mukipewa kombe nyinyi mtaani patakua hapakaliki.

Siunajua masikini akipata, kuna maeneo flani ya mwili wake hulia mbwata, sasa sisi hiyo "mbwata" hatutaki kuisikia.
 
Ukienda England mahasimu wakubwa wa Manunu ni City na Liverkuku...hzi chuki kwa Arsenal ni sisi huku kwetu ngozi nyeusi...kwhyo Bora Arsenal kuliko hao wawili wakibeba
Nasisi ngozi nyeusi ndio hatutaki kero huku mitaani kwetu.
Ni bora achukue mama cita huku kwenye ngozi nyusi hawana sumu, lakini sio nyinyi Arsenal ama Liverpool.
Tena mala 100 Liverpool mashabiki wake wengi ni wazee, hivyo sio waongeaji sana, lakini sio nyinyi.
 
Leo komaeni basi na nyie mmfunge City,tupo nanyi 😀😀

By Liverpool fans
 
Nitaanzaje kumwambia mwanangu mdogo kama hapa jini lilifunga 😂
Snapinsta.app_431128942_799233095570024_952534710127192858_n_1080.jpg
 
Mechi ngumu sana, kwa man u na city. Lately tumekuwa tukitengeneza nafasi za magoli, uchoyo,ubinafsi na umaliziaji mbaya ukawa unatuhukumu, tukivifanyia kazi hivyo, city anakufa mapema watu tuna pack bus maana uwezo wa kuchezea mpira hatuna.

My bet:
First team to score: man u🔥🔥🔥
 
Mkifungwa mnapoteza hope za top four. Mkishinda mnawasogeza Arsenali na Liverpool kwenye ubingwa. Nawashauri msiingize timu uwanjani.
 
Back
Top Bottom