Wewe Ulihama Arsenal pambana na hali yako kwenye Timu ya ushindiYaani huwezi kuamini tunacheza nyumbani.
Bila shaka maajabu umeyaona1-1 dk 91 aded time 9
Tusubiri maajabu hapa.
Unaweza kumlaumu Maguire leo!! Kweli wewe mwendawazimu.Maguire anamsindikiza mtu baada ya hata kumvuta pale .
Acha kusingizia majeruhi, tumekuwa ovyo tokea mechi ya kwanzaMajeruhi ya luke shaw, Martinez, hojlund, ya tatuumiza sana ni wachezaji wa muhimu sana.
ally pipi leo umelambwa na watoto wa london kumbe pipi yenyewe lawalawaMajeruhi ya luke shaw, Martinez, hojlund, ya tatuumiza sana ni wachezaji wa muhimu sana.
kikosi Cha watu wazima kinashuka twende nalo.
Manchester United inacheza Leo na dunia nzima ina furaha
My prediction
Manchester United 2 vs Fulham 1
View attachment 2914820
Halafu kwa kutuma picha Sasa kwny majukwaa ya wenzao...wakiongozwa na Security guard Flano🤠🤠Ukiwaona wako biize na matokeo ya wenzao, kama vile wao wako serious.
Nyie kweli nyumbu!!