Yaani Hawa akishaumia Martinez tu...tyri kinawaka...bdo tunafanya Dua Rashidi Makame naye aende hospitali hata mwezi mmoja tuone hzi mbio zao zitaishia wapi🤠🤠...Ubaya Ubaya tuWale wenye GD ya 0 tukutane hapa tujuane
Nawaona wakirudi GD ya -5 na kuachia nafasi ya 6 kwa wanaojielewa. Nitafurahi huyu nyumbu akishika angalau nafasi ya 13.Yaani Hawa akishaumia Martinez tu...tyri kinawaka...bdo tunafanya Dua Rashidi Makame naye aende hospitali hata mwezi mmoja tuone hzi mbio zao zitaishia wapi🤠🤠...Ubaya Ubaya tu
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣Naitwa MASON MOUNT nimesajiliwa na nyumbu kuja kula mshahara bure, mshahara wa bure ni mtamu nyamnyam. View attachment 2915844
kuna kipind Dalot alikuwa fit, bissaka nae alikuwepo... Regulion naye alikuwa fit aakaanza na bissaka na Dalot.. nikaona Ten hag anakaririKitendo cha kocha kuruhusu Regulion kuondoka halafu akabaki Lindolf kinaniumizaga sana
Hujaacha tu kauli yakoTafuteni kipa wa kueleweka
Yaan jana nlivyoona Lindlof kaanza nkasema hata game siangalii😂😂😂kuna kipind Dalot alikuwa fit, bissaka nae alikuwepo... Regulion naye alikuwa fit aakaanza na bissaka na Dalot.. nikaona Ten hag anakariri
Sijui ila Lindelof ule upande ni kumuonea tuuYaan jana nlivyoona Lindlof kaanza nkasema hata game siangalii😂😂😂
Nmeangalia game mbili ambazo Lindelof kacheza ule upande na game zote alikuwa ni uchochoro. Nikapoteza imani nae kabisa awapo uwanjaniSijui ila Lindelof ule upande ni kumuonea tuu
Kocha wetu hajui rotation Kobbie msimu ujao anaweza akadropNmeangalia game mbili ambazo Lindelof kacheza ule upande na game zote alikuwa ni uchochoro. Nikapoteza imani nae kabisa awapo uwanjani
Sir Jim amfungulie Ten Hag milango tu. Watuletee Zizzou pale unyumbuni tuanze kufurahia football.Kocha wetu hajui rotation Kobbie msimu ujao anaweza akadrop
Hilo haliwezekani Jamaa anawaza team ya taifa nadSir Jim amfungulie Ten Hag milango tu. Watuletee Zizzou pale unyumbuni tuanze kufurahia football.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Ni kumtengea kibunda tu!!Hilo haliwezekani Jamaa anawaza team ya taifa nad
Vibunda katengewa mnoHakuna mkate mgumu mbele ya chai. Ni kumtengea kibunda tu!!
Huyo Regulion alikua mchezaji wenu mlimnunua?Kitendo cha kocha kuruhusu Regulion kuondoka halafu akabaki Lindolf kinaniumizaga sana