Mr Mike
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 243
- 539
Tuendelee kusubiri??
Jim Ratcliffe akiiweza Manchester United basi ajengewe Li-sanamu Li-kubwa..

Ten Hag akubali yaishe tu..
Pamoja na majeruhi
Pamoja na uwezo mdogo wa wachezaji,,
Yeye pia uwezo ni mdogo..
Yule Jamaa aliesema msimu uliopita kawekwa mjini na Rashford na Casemiro muda ukifika atapewa heshima yake..
Jim Ratcliffe akiiweza Manchester United basi ajengewe Li-sanamu Li-kubwa..

Ten Hag akubali yaishe tu..Pamoja na majeruhi
Pamoja na uwezo mdogo wa wachezaji,,
Yeye pia uwezo ni mdogo..
Yule Jamaa aliesema msimu uliopita kawekwa mjini na Rashford na Casemiro muda ukifika atapewa heshima yake..