Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mlikua mnaomba mpira uishe 😂🙌. Mshukuru zawadi aliyowapa yule beki wa Luton, la sivyo tungekua tunaongea mengine.

Mkibisha natuma possession 😁
 
Hivi ni timu gani kwenye top 6 ilienda pale Kenilworth Road ikatoka na points kizembe?

Ukitoa Spurs wengine wote walipata ushindi wa kubahatisha: Kuku FC wakalazimishwa droo tena kwa ku-force sana. City hawakuamini walichokutana nacho. Arsenal ndiyo walichezewa kabisa maana ilikuwa wanafunga wanachomolewa dk za mwishoni ndiyo ikawa pona yao. Chelsea walikuwa wanalazimishwa droo ila muda ukawa upande wao.

Sasa United wameshinda 1-2 mmeanza maneno au ndiyo agenda dhidi ya United zinaendelea. Spurs pekee ndiyo niliona timu iliyoipa tabu Luton wakiwa nyumbani na wakapewa red card ila wakaondoka na points 3 + clean sheet.
 
Mkuu bado uko na hawa ndugu zetu au umeshahamia Brighton and Hove '5G' Albion mazima?
United ndo chama langu ila kurudi mpaka Glazers na wachezaji matapeli waondoke. Timu ina wachezaji wanacheza kwa mood pamoja na kulipwa mishahara minono, hakuna fighting spirit kabisa. Mashabiki wanaona kabisa kikosi kina potential ya kufanya vizuri hata kama siyo kushinda EPL ila wana uwezo wa kushinda mechi bila mashaka maana kila mechi dk 20 za mwanzo wanacheza vizuri.

Kocha naye haonyeshi kurekebisha makosa yake na ya wachezaji wake kila siku wanarudia makosa yaleyale. Mawinga wabinafsi, defense mbovu, wachezaji wapo out of form ila analazimisha wacheze haohao, timu haina muunganiko kila mchezaji anacheza jinsi anavyojua yeye ni kama hakuna mfumo au maelekezo ya kocha. 🚮

SEAGULLS!!!
 
Hivi ni timu gani kwenye top 6 ilienda pale Kenilworth Road ikatoka na points kizembe?

Ukitoa Spurs wengine wote walipata ushindi wa kubahatisha: Kuku FC wakalazimishwa droo tena kwa ku-force sana. City hawakuamini walichokutana nacho. Arsenal ndiyo walichezewa kabisa maana ilikuwa wanafunga wanachomolewa dk za mwishoni ndiyo ikawa pona yao. Chelsea walikuwa wanalazimishwa droo ila muda ukawa upande wao.

Sasa United wameshinda 1-2 mmeanza maneno au ndiyo agenda dhidi ya United zinaendelea. Spurs pekee ndiyo niliona timu iliyoipa tabu Luton wakiwa nyumbani na wakapewa red card ila wakaondoka na points 3 + clean sheet.
Hakuna agenda yoyote, ni ukweli kuwa mpira wa ETH ni wa kitapeli kupindukia. Sio kwa Luton tu, yaani team haieleweki inacheza style gani, sub zake simple kuzijua, yaani inshort ni bahati tu zipo upande wetu.
 
️ Newcastle confirm 𝐃𝐚𝐧 𝐀𝐬𝐡𝐰𝐨𝐫𝐭𝐡 has now commenced a period of gardening leave.

CEO Darren Eales: “Our exciting journey doesn't stop and the process to recruit a new director will begin immediately”.

𝐀𝐬𝐡𝐰𝐨𝐫𝐭𝐡 has agreed to join 𝐌𝐚𝐧 𝐔𝐧𝐢𝐭𝐞𝐝. Talks on compensation, soon.

#𝐅𝐚𝐛𝐫𝐢𝐳𝐢𝐨𝐑𝐨𝐦𝐚𝐧𝐨
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20240219_172902_108.jpg
 
1708452034516.png

- hakukuwa na ulazima wa kumsajili onana kwa 45 million, yalikuwepo machaguo mengine nafuu.

- 80 millioni kwa ajili ya anthony ni makosa

- mason mount kwa 55 million, tulisema sana humu ndani, sijui kama kafikisha japo mechi 10 kwa msimu huu.

- casemiro kwa 60 million, kosa jengine la kiufundi

Ni mtazamo wangu.
 
View attachment 2910511

Kuna Mfumo Mzuri Wa Uongozi sasa hvi, Makosa ya kipuuzi kama hayo na Mengineyo ikiwemo Kuchelewa kusajili na kupelekea ( panick buying) hatuyategemei, first choice ya kocha ndo inategemewa kuwasili kila position na kila usjili
 
View attachment 2910511
- hakukuwa na ulazima wa kumsajili onana kwa 45 million, yalikuwepo machaguo mengine nafuu.

- 80 millioni kwa ajili ya anthony ni makosa

- mason mount kwa 55 million, tulisema sana humu ndani, sijui kama kafikisha japo mechi 10 kwa msimu huu.

- casemiro kwa 60 million, kosa jengine la kiufundi

Ni mtazamo wangu.
Tuta offload dead woods mkuu ili kuendana na FFP.
Nadhani kitu cha msingi wamsikilize kocha anataka nini halafu wachezaji wa kiingereza wasionewe aibu kamwe.
 
Hana utamaduni huo tokea akiwa AJAX
Kama ni hivyo basi hana mbinu zakutosha ila anatembelea nyota ya wachezaji.
Nakumbuka babu Fergie karibu kila mechi ilikuwa na matakwa yake na wachezaji wake.
Mechi ya Brentford huwezi kuicheza kama unavyocheza na Burnley au Villa kimbinu.
Mkuu Bagabeach mie naanza kukosa imani na huyu mshikaji wetu sasa.
 
Ndugu fuentte Matatizo ni mengi
Wewe unataka tuanze na tatizo lipi??

Me naona tuanze na uongozi na wachezaji
SJR ameshajua kiini cha tatizo liko juu, then atakuja kwa wachezaji, kocha ni baadae kdg

Ushauri, kwa sasa tumuunge mkono kocha.
 
United ndo chama langu ila kurudi mpaka Glazers na wachezaji matapeli waondoke. Timu ina wachezaji wanacheza kwa mood pamoja na kulipwa mishahara minono, hakuna fighting spirit kabisa. Mashabiki wanaona kabisa kikosi kina potential ya kufanya vizuri hata kama siyo kushinda EPL ila wana uwezo wa kushinda mechi bila mashaka maana kila mechi dk 20 za mwanzo wanacheza vizuri.

Kocha naye haonyeshi kurekebisha makosa yake na ya wachezaji wake kila siku wanarudia makosa yaleyale. Mawinga wabinafsi, defense mbovu, wachezaji wapo out of form ila analazimisha wacheze haohao, timu haina muunganiko kila mchezaji anacheza jinsi anavyojua yeye ni kama hakuna mfumo au maelekezo ya kocha. 🚮

SEAGULLS!!!
Kama timu inacheza hovyo namna ile lakini tupo top six mwalimu akirekebisha hata 10% ya makosa ya mapungufu ya timu si tunatwaa ubingwa.??

Trust the process
 
Back
Top Bottom