Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,396
Second yellow awaits himCasemiro time imefika sasa, huna speed ,nguvu, umakini umepungua
Second yellow awaits himCasemiro time imefika sasa, huna speed ,nguvu, umakini umepungua
Kwa speed ya hawa eriksen hawezi kabisa hapa amuingize tominayShaw =Yellow
Casemiro = Yellow
Maguire = Yellow
Halafu namuoma kocha kamnyanyua Erickson apashe.
Huyu kocha atakuwa amelogwa.
Maino apate tu kocha atakaefungua potential yake yote maana anafurahisha kumuangalia na mpira mguuni.
Ila timu kama hii kutuchezea nusu uwanja sio sawa ni dharau kubwa mno.
Second yellow awaits him
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sub za Baba Ubaya hua mara nyingi zinaniachaga mdomo wazi.Shaw =Yellow
Casemiro = Yellow
Maguire = Yellow
Halafu namuoma kocha kamnyanyua Erickson apashe.
Huyu kocha atakuwa amelogwa.
Kwa hali hii kweli?..? Kuna muda hata sielewagi Ten hag na Watoto wake wanafanyaga nini Carrington mpira mbovu mpaka ninachoka kuutizama yani inatokea Tumeshinda ila sasa shambulizi na Msako tuliopigwa ni kama vile tulikuwa Pungufu yani static hazipishani na Chelsea Jana.
Garnacho hayupo form leo, ila ETH alivo na akili zake hatoi nafasi kwa kina Amad kucheza.Makocha wa kiholanzi ni matapeli,
Maneno kibaoo lakini matendo sifuri.
Wengi wao huringia career ya mungu wao
Huyu jamaa sasa ifanyike namna auzwe pancha zimezidi[emoji599][emoji599][emoji281]| Tests are set to follow for Luke Shaw after he sustained a new injury today during the first half vs Luton Town.
𝐒𝐩𝐚𝐧𝐧𝐞𝐫𝐌𝐤𝐨𝐧𝐨𝐧𝐢[emoji1784]
[FabrizioRomano]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃[emoji1179][emoji3541]
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨[emoji2522]
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏[emoji469]
#𝙂𝙂𝙈𝙐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2908257