Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe subiri uje ulingane points na wachini yako. Ujikute unamaliza nafasi ya 11 huko, ukose champions league kisa GD.
Hata tukishuka daraja kwa sababu ya GD hamna shida, hata mwaka juzi kina Masingeli na Co-wokers wake walikua wanatusimanga kwelikweli kuhusu clean sheet ila mwisho wa msimu wote Arsenyau mwenye clean shit nyingi na sisi tusio na clean sheet tukaenda Europa.
Nimekuuliza haujanijibu nakuuliza tena
Ndani ya miaka 20 iliyopita hizo GD 25+ zimewasaidia Arsenyau kupata kombe gani la maana?
 
mbona kwenu unaandika clean sheet vizuri kabisa ila kwetu kiingereza unasahau ghafla unaandika clean shit?
makombe kwetu yanakuja tu muda si mrefu.

kwakuwa wewe unapenda sana taarabu...

Kijembe kongoka mpini nikutie kibanio,
nimepata dereva ajuae gari yangu yenda mbio!
👌👌

Huo msamiati hata siuelewi maana yake ila kimpira mpira tuseme tu Arsenal imepata dereva ajuae Arteta na sasa gari letu laenda mbiooooo, full kuwatimulia vumbi timu za mchangani kama mamyumbu.
 
Msimu ulioisha gari yenu ilienda mbio zaidi ya siku 258, zimebaki mechi 8 ligi kuisha mlikua mnaongoza kwa points8 mbele dhidi ya Man City aliekua nafasi ya pili.
Imebaki mechi moja ligi iishe Mancity yuko mbele yenu kwa points 8
Asenyo haieleweki elewiki yaani ipo kama pussy cat haijulikani inakaa mbele, kati au nyuma
Uzuri wa Asenyo mdomo wanapiga wao kombe wanabeba wengine.
 
1707921725831.png
 
Ajali kazini tu hizo. Iko siku tutakjirekebisha. Ikifika siku hiyo, mji wa Manchester utajaa vilio
 
Dan Ashworth selected signings

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |View attachment 2904338
Ila Newcastle kaanza kufeli signings zote za msimu huu hazijaongeza kitu chochote kikosini
 
Tunaanza upya lkn Mctomnay wamuache ache kdg....
ETH akiwa na full squad huwa winning % inaogezeka.
Binafsi ananichaganya
Chelsea fc imenunulia £2.7B, umefanyika usajili over £1B kuanza maisha upya baada ya Roman Abramovich.

Sasa hii Man u, Sir Jim ameweka £300M ni kuanza upya au kufanya maboresho madogo madogo ya kiufundi?
 
300m sokoni inatosha kabisa kwa kuanzia, kikubwa uwe na watu sahihi wa Michezo na wafahamu mahitaji ya timu.
TODD Mazungumzo yake ya awali aliotelea Mfano Liverpool kufanya vyema uwanjani huku akiwa anatengeneza faida kwenye mauzo ya wachezaji [aliamua kuchukua kila jina linalotajwa sana sokoni umri mdogo + mkataba wa miaka mingi, hapa Mawakala wengi walimuuza]. Alichofeli hakufahamu kama tayari wenzao wana AINA yao ya uchezaji, {Swali rahisi kwako, Mpaka sasa unajua CFC Inataka chezaje??}

Ukisikiliza Mahojiano ya Mourinho na RIO, anakwambia kabla hujanunua Samani Mpya lazima usafishe Nyumba akiwa na maana kuna wachezaji wa kuuzwa wengi UTD, fikiria mpaka sasa kuna wachezaji wa tangu Fergie, na kibaya kuhusu UTD inatumika na mawakala inawafunga Wachezaji na mikataba Mikubwa mpaka wanakuwa hawauziki.

Jaribu fikiria De Gea mpaka leo hana timu, UTD ni timu ya Pili kwa Bili kubwa ya Mishahara nyuma ya CITY na ilikuwa ya Kwanza kabla {Kwa kipi wanachofanya uwanjani!}
300m unaweza pata "Premium" kama 4 kwa 70m+, ukapata "Potential" kama 6 kwa 50m+ ama "Established" kama 5/6 kwa 55m+. {kwa kuanzia inatosha ukichukua wachezaji muhimu na kuwa "Smart" kwenye makubaliano ya Bei. {Kuna chaguo la mkopo na kipengele cha kununua mbeleni, Benfica wanaipenda hii}
 
Back
Top Bottom