Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,306
- 3,413
.....and thats the chicharito i know.
Kama kawaida yenu...!!!
kwa wasioona banner ya moyes out
![]()
Kama kawaida yenu...!!!
hahah...Mkuu Nzi, Fellain atafanya kipi cha ajabu mbele ya the likes of Martnez, Bastian, Alcantara na Kroos???..kama siyo kum-bebesha lawama tu mchezaji wa watu...
Habari za jioni ndugu yangu...Physique yake, itahitajika kumsaidia Carrick ama Fletcher...
Of course, hayo ni majina makubwa mno kwa hali ilivyo sasa...ila saa zingine kuna mambo ya "against all odds"