Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

niisikia fans wa ot waliwadisappoint kidogo wnenzao (huu ni mtizamo wangu)

Hawa match-going fans ndo wanampa Moyes jeuri ya kuona kila kitu ni sawa tu. Hata kama mtu hasupport hilo bango basi wangeonyesha kwa njia nyingine kwamba Moyes hakubaliki. Unless kama match-going fans wanaona kila kitu ni sawa na wanamtaka Moyes abaki meaning sisi wengine wote tuliobaki tunamsingizia. Kwa sasa nakadiria 75% ya mashabiki hawamtaki Moyes na nilitegema mashabiki wanaoenda OT wangesaidia kuwajulisha wahusika hivyo, maana wanavyozidi kushangilia na kuiimbia timu yule zezeta anachukulia kuwa mashabiki wanamsupport. Juzi tu hapa katoka kusema kuwa "the support for me is great and I get it from everywhere". It feel as if he is under some sort of illusion.

Another element inawezekana kuwa influence ya Furgerson ndo inambakisha jamaa. Glazers sio watu wa mpira naona kama vile wameamua kumiachia SAF maamuzi yote ya mpira. Ingekuwa Abromavich na jinsi alivyo mshabiki wa mpira huyu mjinga angekuwa katoka muda mrefu sana.

Kama nilivyosema awali MOYES OUT!*

(*unless he wins the Champions League)
 
thedon timu ya MU ndio timu pekee yenye uvumilivu kwa kocha hasa anaposhindwa kupata ushindi mfululizo. Nadhani Moyes kavunja rekodi nyingi sana pale OT kwa kupoteza.

Leo wameshinda kwa jitihada binafsi za wachezaji bila kufuata mfumo wa DM.
 
Last edited by a moderator:
mi nadhani ile timu inayoenda mwaka wa tisa sasa bila hata kikombe cha maji ya kunywa iko na kocha huyohuyo muda wote wala hawafikirii kumtimua.

They have a gold cannon...lol!
 
ThE CHOSEN ONE
David-Moyes-signs-autogra-005.jpg

HEAD BOY...1-0
Rooney-scores-008.jpg

PEN....
Juan-Mata-is-fouled-014.jpg

WHATS THE MATA??!!
Juan-Mata-celebrates-013.jpg
 
BAYERN MUNCHEN wanakuja kumaliza Match hapo hapo Old TrashFord, kule kwao mkahangaike nyie Tu, Wenyewe watakuwa wanapiga MPIRA LAINI tu.
 
Yaani HUMILIATION mtakayoipata kwa BAYERN ile ya BARCELONA itakuwa cha Mtoto...yaani Midfield battle ya the likes of Fellain na Carrick Vs Martnez, Bastian au Alcantara (New Xavi)...SIPATI PICHA aiseee..anyways all the best watani zetu..
 
Sawa, mrithi wa Shehe Yahya....
 
Nikiangalia jinsi mambo yalivyoenda hadi sasa, nasikitika sana nikizikumbuka games dhidi ya Southampton, Cardiff na Fulham.

Games hizo tulipata droo za kufungwa goli la kusawazishiwa dakika za majeruhi.

Hizo games tungeibuka na ushindi, ina maana, pamoja na kufungwa games 10, tungekuwa na points 60. Yaani tungekuwa points 9 nyuma ya Chelshit, na points 4 nyuma ya Goons.

Dah! Anyway, nitaendelea kumsupport meneja aliyepo sasa; na kama bodi ikiona ilete kocha mwingine, nitasapoti maamuzi ya bodi.

#GGMU
 
thedon timu ya MU ndio timu pekee yenye uvumilivu kwa kocha hasa anaposhindwa kupata ushindi mfululizo. Nadhani Moyes kavunja rekodi nyingi sana pale OT kwa kupoteza.

Leo wameshinda kwa jitihada binafsi za wachezaji bila kufuata mfumo wa DM.

Wasitake kutuzengua. Man United walikuwa wanafukuza makocha kama timu nyingine tu kabla ya Ferguson. Kuwa wavumilivu wa makocha ni rahisi kusema kama timu ina mafanikio. Huyo SAF mwenyewe alivumiliwa mwanzoni mwa tenure yake Old Trafford kwa sababu alionyesha dalili ya mafanikio (he finished second on his first full season) alionyesha kuibadilisha timu for the better kwa kuondoa wachezaji wazee na walevi na unprofessional na akaleta overall professionalism na wachezaji vijana. Kuvumilia makocha ni sawa lakini kila timu ina bottom line yake. At United the bottom line is that the style of football shall not be compremised, hata Ferguson mwenyewe alishawahi kusema kocha atakayemfuata lazima aendeleze traditions ya kucheza mpira wakuvitia na mashambulizi. Sasa can they honestly say kwamba huyu Moyes wao ameendeleza hiyo tradition? Hata kama wachezaji alionao sio anaowataka mbona mwenzake Martinez ameweza kuwafanya Everton kucheza mpira wa kuvutia zaidi na wachezaji aliokua nao yeye mwaka jana?

Kitu kingine ambacho kinaniudhi mimi ni Moyes kujaribu kutulazimisha mashabiki tuamini kwamba wachezaji tulionao ni vilaza. Jamani timu hii hii iliyoipelekesha Madrid mwaka jana watu wakawa wanazungumzia future nzuri tuliyonayo na vijana wetu leo hii wote ni vilaza? Kwenye timu ya mwaka jana iliocheza na Madrid labda unaweza kusema Vidic ndo kazeeka (bado ni mdogo kwa John Terry kumbuka) leo hii galfa ni wabovu? Kwahiyo ndani ya mwaka mmoja wachezaji wa Everton wamekuwa wazuri zaidi ya United afu waUnited wamekuwa vilaza zaidi ya Everton? Kwa mfano jana alivyosema kuwa eti hata Ferguson menyewe asingeweza kuipata top-four na timu hii, kama so matusi hayo na kutuona sisi mataahira ni nini?

Huyu jamaa kanidangaya sana msimu mzima. Tunafungwa mechi moja au mbili muhimu mfululizo afu tunashinda moja au mbili against timu za kawaida afu eti ohh "we are turning a corner" ikija timu kamili tunachapwa tena! Akawandangaye hao hao wanaokubali kuendelea kudanganywa as for me Moyes OUT! Unless he wins the Champions League. Yaani kweli sisi tumekuwa watu wakushangilia ushindi dhidi ya West Ham na Aston Villa kama vile ndo tumeshinda Premiership?

Anyways I'm getting to worked up now, ngoja Bayern waje waprove point yangu.
 
Moyes brings his own brand of blues to Old Trafford
 
Attachments

  • moyesblues.jpg
    moyesblues.jpg
    35.1 KB · Views: 65

Bring on Bayern and we'll bring our own 20LEgend!

Attachments

  • 20Legend.jpg
    20Legend.jpg
    71.6 KB · Views: 77
Wish we could have him back for Tuesday!
 
Attachments

  • scholes.png
    scholes.png
    7.8 KB · Views: 78
Hawa match-going fans ndo wanampa Moyes jeuri ya kuona kila kitu ni sawa tu. Hata kama mtu hasupport hilo bango basi wangeonyesha kwa njia nyingine kwamba Moyes hakubaliki. Unless kama match-going fans wanaona kila kitu ni sawa na wanamtaka Moyes abaki meaning sisi wengine wote tuliobaki tunamsingizia. Kwa sasa nakadiria 75% ya mashabiki hawamtaki Moyes na nilitegema mashabiki wanaoenda OT wangesaidia kuwajulisha wahusika hivyo, maana wanavyozidi kushangilia na kuiimbia timu yule zezeta anachukulia kuwa mashabiki wanamsupport. Juzi tu hapa katoka kusema kuwa "the support for me is great and I get it from everywhere". It feel as if he is under some sort of illusion.

Another element inawezekana kuwa influence ya Furgerson ndo inambakisha jamaa. Glazers sio watu wa mpira naona kama vile wameamua kumiachia SAF maamuzi yote ya mpira. Ingekuwa Abromavich na jinsi alivyo mshabiki wa mpira huyu mjinga angekuwa katoka muda mrefu sana.

Kama nilivyosema awali MOYES OUT!*

(*unless he wins the Champions League)

Binafsi mi ni #teammoyesout hata akishinda Champions League mbona Chelsea walibeba ndoo na bado wakatimua Kocha....
Leo hii imefikia hatua mashabiki wa MUFC tunaomba timu ifungwe mfululizo ili Daudi afukuzwe mapema...
The only way we can take part kwny champions league 2014/2015 ni by winning champions league hii ya msimu huu..
Kwahiyo mi naomba tutandikwe tu EPL ila kwny CL wachezaji wajiongeze tubebe ndoo ili kocha wa maana atayekuja kumreplace Moyes akute tunashiriki CL
 
Na kama hatutabeba ndoo mwaka huu na Moyes atabaki basi ujue Champions League tumeikosa for the next two seasons a the least, possibly three because it will probably take a new manager another season to fix Moyes' mess.
 
INJURY UPDATE:
Rafael missed training in the morning,may miss bayern game
Ferdinand,Evans,Smalling all took part in training
Buttner and Valencia both available
RVP out injured
Evra suspended
Cleverley out injured
 
Back
Top Bottom