hapa ndio tunaonaga upmbfu wa huyu moyes. badala ya kumtoa young anamtoa kagawa aaarrrgggh...
Hivi mkishinda leo mnapanda nafasi ngapi?
hapa ndio tunaonaga upmbfu wa huyu moyes. badala ya kumtoa young anamtoa kagawa aaarrrgggh...
hapa ndio tunaonaga upmbfu wa huyu moyes. badala ya kumtoa young anamtoa kagawa aaarrrgggh...
Game is almost over na tuna quarter final na Bayern Jumanne huenda Kagawa akaanza hiyo mechi
ha ha ha!mkikaa kimya mtashinda na j.4,mkiongea ongea tu,utaratibu ule unaendelea,all the best!
nashkuru kuona ushindi wa man u umekugusa... karibu tusherehekee mtani!!
hatupigi kelele mkuu tutakuwa kimya kabisa mark my words. hatuwezi kushangilia sana kumfunga a.vilaaleo mkishinda kaeni kimya,tatizo lenu kesho mtaanza kelele