HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,674
- 7,129
Manyumbu mpaka sasa wanashangaza watu. Mko nafasi ya 6, point 6 tu nyuma ya Tottenham wa nafasi ya 4. Ila mmepitwa goal difference na top 10 nzima kasoro West Ham. Mnapanda mdogo mdogo tu kimasihara.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Masingeli ndio muda wake huu wa kutamba, siku atayopigika ndio siku anayozima simu na kuchomoa line kabisa.
Last season kimasihara hivi hivi mlifika nafasi ya 3. This season mnapaswa msivuke ya 9 ila cha ajabu mtajikuta mmeingia top 4.