Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu bado inajitafuta ,,,,,,

Tuendelee kuokoteza point walau tuone itakuwaje mwishoni kama tutaingia top4 !

Ni mapema sana lakini waliomdhihaki Hojland wataanza kuficha sura zao !!!!

Napenda upambanaji wake,,,, really promising talent !!!!
 
2nd half nyumbu mtapata tabu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tabu wanapata wale Marastafari wanaokulaga nyama.
Acho kuteseka broo njoo upate ubatizo wa maji ya moto.
tapatalk_-819671694_335x450.jpg
 
ETH anatamba anasema kwasasa anampiga yeyote [emoji1787][emoji1787]

Amecheza na villa lakin anadai alistahili kuifunga Arsenal na Liverpool [emoji1787][emoji1787]

Huyu kocha manjesta fans wanadai simpendagi ,kaangalieni stats za hizo mechi

Hata hiyo ya villa kabahatika ,siokwamba aliukamata mchezo ,lakini cheki anavyotamba

Utofauti wa Flano na ETH ni upi
20240212_002043.jpg
 
ETH anatamba anasema kwasasa anampiga yeyote [emoji1787][emoji1787]

Amecheza na villa lakin anadai alistahili kuifunga Arsenal na Liverpool [emoji1787][emoji1787]

Huyu kocha manjesta fans wanadai simpendagi ,kaangalieni stats za hizo mechi

Hata hiyo ya villa kabahatika ,siokwamba aliukamata mchezo ,lakini cheki anavyotamba

Utofauti wa Flano na ETH ni upiView attachment 2901420
Nyie pigeni mdomo tu ila mna point zetu pale OT.
 
Back
Top Bottom