Hakuna kocha zaidi ya huyu kwa sasa acha niendelee kumvumiliaTuna matatizo mengi ila hili la kocha pia tulitazame.
Sawa tuendelee kula mtoriHakuna kocha zaidi ya huyu kwa sasa acha niendelee kumvumilia
TOMINAYYYYYYYYYYY 1-2Casemiro na Mainoo wote wana yellow cards. Hapo katikati pana shida kubwa kwa sasa. Kabla ya dakika ya 60 toa Casemiro weka Tominay mapema. Kocha mzito sana huyu kufanya sub.
Timu ilipofikia tunahitaji wachezaji wapya na sio kocha mpyaSawa tuendelee kula mtori
MkopoHuyu amrabat tumemnunua au mkopo
Timu ilipofikia tunahitaji wachezaji wapya na sio kocha mpya
Hapana katusaidia sana, kapambana sana. DIABY/BAILEY ni wabaya sana kwenye upande ule wa kulia.Ila lindelof ni kimeo aiseee doh
Tuna matatizo mengi ila hili la kocha pia tulitazame.