Man u kupona sio leo wala.kesho hadi wajielewe, kikosi chenu pale city au liver ni benchi woteYan tot hawana son,Maddison,kulusevski,bissouma etc na wapo organized unaona kabsa mpira una njia zake ila sisi ni butua mbele and inshallah
Man U hakuna kocha tukiri
Halafu mtu anakuambia kocha outMan u kupona sio leo wala.kesho hadi wajielewe, kikosi chenu pale city au liver ni benchi wote
UkweliMan u kupona sio leo wala.kesho hadi wajielewe, kikosi chenu pale city au liver ni benchi wote
Kamulize mama ako 😀😀😀Jinsia yako please
Tottenham Hotspurs wana majeruhi pamoja na wachezaji watatu muhimu wapo timu ya taifa lakini bado standard yao ya kiuchezaji haijaporomoka.
Kocha wetu ni bwana visingizio
wewe na manjesta ni tofauti ya point moja,duh mbona kama amekuzidi tu. sasa hiyo jeuri unaitoa wapi?Huu utopolo unaongoza kizembe zembe halafu goli zinarudi 😀😀😀😀
Huyu kocha wa Cape Verde anafaa kuifundisha hii manjesta 👋👋👋😂😂😂
Ata mpewe kikosi cha city chote, nyie ni wa kawaida sanaaa mme baki jina tuSancho anatoa assist tu huko...kocha hamna pale man u, mchukueni ata Julio
Hao ndio nuksi pale ot na babu fergieHawa Glazers hawafanyi usajili?
Leo nimeamini Man City ni katimu kadogo sana. Mtu anatoka City Football Group anakuja INEOS!
Alikuwa ni Chief Football Operations Officer.Alikuwa na cheo gani kwa hao majirani wasiostarabika