ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 18,428
- 24,144
Unalalamika kwa wachezaji gani ulionaoYan tot hawana son,Maddison,kulusevski,bissouma etc na wapo organized unaona kabsa mpira una njia zake ila sisi ni butua mbele and inshallah
Man U hakuna kocha tukiri
Babu evans
Babu ericksen
Babu casemiro
Babu varane
Matumaini unaweka kwa garnacho maino rashford