Tulia Wenger orphans bwenyenye jipya Sir Jim limekuja na neema yake.Mshinde Leo
Ole wenu Sasa mfungwe
Ahsante kocha, umesikia.Toa Ericksen haraka weka Tominay, Casemiro bado bado
Unamuangalia foden na kipaji chake pale city lakini hana namba first eleven huku kwetu tumeweka matumaini kwa garnacho na mainoo😀😀Kama INEOS wapo serious ni lazima United msimu ujao ipatikane tiba ya defense nzima pamoja na midfield.
Tottenham Hotspurs wana majeruhi pamoja na wachezaji watatu muhimu wapo timu ya taifa lakini bado standard yao ya kiuchezaji haijaporomoka.
Kocha wetu ni bwana visingizio
Hahah! Mambo ya anatoka mtu anaingia mtu kwa United labda baada ya misimu miwili ijayo.Unamuangalia foden na kipaji chake pale city lakini hana namba first eleven huku kwetu tumeweka matumaini kwa garnacho na mainoo😀😀
Unalalamika kwa wachezaji gani ulionaoYan tot hawana son,Maddison,kulusevski,bissouma etc na wapo organized unaona kabsa mpira una njia zake ila sisi ni butua mbele and inshallah
Man U hakuna kocha tukiri