Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
😂😂😂😂
Una ratiba yangu ya Jf? Mbona hata tukishinda nisipoonekana huniuliziiUmerudi sasa baada ya vipigo
Taja majina yao
View attachment 2862908
Natumai siku moja nitamuona shey lacey chini ya kipara.
Mafundi, Amir + Shea. Flanks za UTD zina Uhakika kwa Miaka kadhaa ijayo, UTD Miaka ya Karibuni wamekuwa na Mwendelezo Mzuri sana wa Academy, Hawa watakuja Malizia Puzzle ya kuwa Mezzala kwenye MD ya UTD.+ Isak Hansen Aaroensen & Amir Ibragimov
mchezaji anapohitajika na Pep muangalie jicho la pili , Pep alimuhitaji huyu dogo aligoma akaenda kwa DokuNimeshangaa kuna watu wanamwona eti ana potential kubwa
Wachezaji aina ya olise ni wa mid table team hatatufikisha popote km ilivyo kwa antony
Nimeona Manchester United ipo linked up na uyu dogo
Eric ten hag akimsajili huyu nitaamini kocha hana jicho la talent I'd
Kocha alitakiwa kwenye hili dirisha atafute DM wa uhakika la sivyo tutataanza ku question uwezo wake msimu wa tatu
Mechi za crystal palace, Bournemouth, Nottingham forest alipoteza kizembe sana
Nampenda Eric kwa personality yake kwasababu imekuja kuvunja ile tox behavior kwenye dressing room ila ndani ya uwanja still nampa dought of benefits kwasababu ya wachezaji wengi waliumia msimu huu
Kusimamia dressing room nampa 9/10
Kusajili wachezaji sahihi 4/10
Playing bado 6/10
Una ratiba yangu ya Jf? Mbona hata tukishinda nisipoonekana huniulizii



povuuu linakutoka sasaSio ratiba zako dogo. Ni kawaida yako mkipigwa chuma huwa unapotea siku kadhaa hii sio msimu huu tangia uwanze kupiga kelele humu jukwaani.Una ratiba yangu ya Jf? Mbona hata tukishinda nisipoonekana huniulizii
Nakazia.Sio ratiba zako dogo. Ni kawaida yako mkipigwa chuma huwa unapotea siku kadhaa hii sio msimu huu tangia uwanze kupiga kelele humu jukwaani.
Ndiomana mimu husema wewe ni mshabiki wa Arsenal huna uchambuzi wowote ule.
Unaniita dogo ,saa ajabu mm baba Yako mdogo ,kuwa na adabu kijana ,Sio ratiba zako dogo. Ni kawaida yako mkipigwa chuma huwa unapotea siku kadhaa hii sio msimu huu tangia uwanze kupiga kelele humu jukwaani.
Ndiomana mimu husema wewe ni mshabiki wa Arsenal huna uchambuzi wowote ule.
Nyie watoto wamajuzi mnajulikana na malegend tunajielewa humu. usiseme ni Id hata ukibadiri tutakufahamu bwana mdogo.Unaniita dogo ,saa ajabu mm baba Yako mdogo ,kuwa na adabu kijana ,
Huenda ndiye niliyekutuma sigara na pipi ,huku Jf unaniita dogo
Pale mbele bado sana aseeHT: Wigan 0 United 1
Tungekuwa na striker kama Haaland tungekuwa na goli 5 saa hii.