Manchester United (Red Devils) | Special Thread

😃😃😃Gemu zijazo msituangushe bhaa tupigwa wote
 
Hapo unaongela kubadili kikosi kizima maana hayo uliyoyasema kuna watu kama Tominay hawezi kila kitu
 
Mkorea na Hamis77 mmeibukia JF kwenye jukwaa la Mwantesa UTD baada ya kichapo kizito toka kwa West Harm "Wagonga nyundo"?
Sisi tulifanyiwa hujuma na Kuna mkakati maalumu wa kutusimamisha

Majirani zangu, ule msitu ni mkubwa Sana kwenu. Ata mkiomba rematch kesho asubuhi mtakufa tena
 
Yaani kila kitu kuhusu mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…