verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,143
- 6,242
Jijiemyu
Tupo hapa kutoa pole kwa wafiwa mapema kabisa
Tupo hapa kutoa pole kwa wafiwa mapema kabisa
DuuhhTuna mchezaji anaitwa kambwala
Sioni namna tunachomoka leo
Kwenye boksi la liverpool tumegusa mpira mara m
Mkuu naona unasukuma gurudumu la matumainiSheffield United inayotumia uwanja wa OLD TRAFFORD
Muda mrefu hujaonekana, natumai waendelea vyema kiafya na kifikra.Mkuu naona unasukuma gurudumu la matumaini
Mkuu nimekuja jukwaa la michezo nikitaka kuuliza antony hawezi ungana na sancho?Bado nauliza na hamjawahi nijibu, nauliza tena. Ten Hag huwa anaona nini kwa Anthony ambacho mimi sioni?