Uchochezi huuOyaa nyie manyumbu. Kule Livakuku wanasema eti leo wana karamu baab kubwa na menu ina supu na steak za nyumbu mixa pilau ya nyumbu. Wanasema eti nyie hamna lolote.
Ila nami nimeisikia hiiUchochezi huu
Umemuangalia vizuri yule fullback wa kushoto wa Getafe?Kwa jinsi Greenwood alivyoubonda jana, sitashangaa Barcelona au Atletico wakituma ofa Unyumbuni.
Oyaa nyie manyumbu. Kule Livakuku wanasema eti leo wana karamu baab kubwa na menu ina supu na steak za nyumbu mixa pilau ya nyumbu. Wanasema eti nyie hamna lolote.



Broo kumbuka kua Punda haendi bila fimbo na ukimtendea wema shukurani yake hua ni mateke.