Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Nyie ndio mnasababisha tunashindwa kuitetea EPL kama Ligi bora
Unaburuza mkia mbele ya Copenhagen
Pumbafuu kabisa
😂😂
Nyie ndio mnasababisha tunashindwa kuitetea EPL kama Ligi bora
Unaburuza mkia mbele ya Copenhagen
Pumbafuu kabisa
Wee ya kweri haya au !?? hahaTuna imani na Jasusi kipara
Ila tuna imani pia na Harry Potter akipewa ulaji kwenye chama letu la #GGGMU
View attachment 2842575





Lolote linaweza kutokeaWee ya kweri haya au !?? haha![]()
Project ya Aston Villla ni kama ilivyokuwa ya New Castle msimu uliopita.Project yao haijanishtua sanaa japokuwa haifanani na hii ya nyumbu kiubora
Man United wangemchukua Jacob Ramsey kuliko Mount ingewalipa work rate kubwa ingeweza kuboost kasi ya uchezajiProject yao haijanishtua sanaa japokuwa haifanani na hii ya nyumbu kiubora
Huu msimu ulikuwa bado hujazaliwa?MAN UNITED IPO JUU YA KILELE CHA ANGUKO LAKE:
((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((((
Kundi lenye timu za Copen hagen FC, Galatasaray, Bayern Munich na Man u yenyewe. Tusi chafu ni United kumaliza wa mwisho akiwa na point 4 pekee. Safari ya United UEFA champions league imekuwa na hitimisho la fedhea.
United imefungwa goals 15 katika mechi 6. Imefanikiwa kushinda mechi moja na kutoa sare moja.
Hata kama "Ten Hag" akifunguliwa mlango wa kutokea. Atakuwa ametolewa tu kama mbuzi wa kafara. Tatizo la Manchester United limejificha katikati ya msemo huu.
"You can't be a champ for life, one day you'll go off and some else will come." Yaani, "huwezi kuwa bingwa milele, lazima siku moja uondoke ili bingwa mwingine aje."
Kuna mashabiki anguko la timu wanalifungamanisha na wamiliki kutotoa pesa nzuri ya usajili. Hii ni "dhana potofu" ambayo haitakiwi kupata nafasi ya kuishi kwenye masikio ya mtu mwenyewe utimamu wa fikra.
Hii dhana inakufa "KIFO" cha asili kwa fact hii. Katika misimu 10 iliyopita, United ipo katika top three ya vilabu vilivyotumia pesa ndefu kwaajili ya usajili kwa timu za England.
Vipigo mfululizo inavyokutana navyo United kila kukicha. Kwa mwenye jicho lililobeba utukufu wa kisoka. Ile ni ishara ya Man u kuwa juu ya kilele cha anguko lake. Kila timu duniani huwa inapitia anguko hili.
Liverpool ilikaa miaka 30 bila ubingwa wa EPL. Mancity miaka 44, Chelsea miaka 50, Arsenal ina ukame huu mwaka wa 19 sasa.
Madrid na ubabe wake wote kwenye soka la ulaya. Amewahi fikisha miaka 7 mfululizo bila laliga, na miaka 12 bila ndoo ya UEFA champions league.
Leo simanzi imejenga ngome old Trafford, kwa kuwa "UTUKUFU" hautaki tena kuwa sehemu ya Manchester United.
Halafu wikiend hii Manchester United yupo ugenini huko kwenye uwanja mgumu "Anfield" ili kuweza kuibiri Liverpool ambayo msimu huu ipo
Kila lenye mwanzo lina mwisho. Ila mwisho wa anguko la Manchester United umekuwa wa kuumiza sana kama yalivyo maisha ya chid Benzi.
Imeandikwa na Benjamin Bruce Sport's
Tu-Follow Benjamin Bruce Sport's
Nyumbu leteni picha kama hii kwenye mashindano ya Ulaya msimu huu.
View attachment 2842857
hii ption ingelikuwepo kwenye betting ingependeza sana