Kandambili1
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 1,114
- 2,948
Ten hag nae haeleweki .... Muda tunaohitaji sub hafanyi ila tumefungwa anafanya sub za nini?..
😃😃😃👐Nilale tuuTen hag nae haeleweki .... Muda tunaohitaji sub hafanyi ila tumefungwa anafanya sub za nini?..
NilipitiwaNa ukamaanisha Liverpool wao wanacheza Ligi ya Cricket sio?
Ma Giant yaani Arsenal na Madrid?ni bora hata huko uropa tusiende hatuna uwezo wakua na wake wawili nikiwa na maan hatuna team ya kushnda ligi na uefa ikiwa kund lenye team copenhag qaratasary vp huko 16 kwenye majayant si ni aibu tu
NaamMa Giant yaani Arsenal na Madrid?
Wote hao wanafungika. Kundi limewaindea vibaya ila natamani kusema mmestahili kuondolewa huku. Bado hamjawa tishio. Kwenye premier league mna GD ya -3. Huku champions leadue league mmefungwa mechi 4/6 na haijawahi kuwatokea ndani ya miaka 25 ya ushiriki kwenu. Mmeburuza mkia kwa yanza ndani ya miaka 18 ya ushiriki wenu. Ni vema mkajipange upya.Naam
Unachukua fursa ya kutafuta wafuasiKwa mtu anayejali afya yake ya akili hili litimu ni la kukimbia.
Wamiliki hawajielewi, miaka 10 ya kutoa pesa tu bila kuwa na ramani ya kufika nchi ya ahadi.
Wachezaji hawajitumi kuendana na mishahara wanayolipwa, uwezo mdogo, uvivu.
Karibuni sana Brighton & Hove Albion.

. U guys just lost everything even to us fans who loose our trust each day on our team .Its no longer funny united play like u mean it,We’ve got liverpool next and i swear if we get beaten 10-0 i will find my way to old trafford u hear meHahah! J2 baada ya kuchukua points 3 pale Emirates watakuja wenyewe.Unachukua fursa ya kutafuta wafuasi