Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

U bastards have the courage to post this after u got us kicked out of our dreams of ever winning the champion league ever again we couldn’t even qualify for europa . I take this chance to say onana is garbage ten hag is garbage hojlund is the worst striker i have ever seen. U guys just lost everything even to us fans who loose our trust each day on our team .Its no longer funny united play like u mean it,We’ve got liverpool next and i swear if we get beaten 10-0 i will find my way to old trafford u hear me

My ideas
Haya mambo ya vingereza yako jukwaa la Liverpool watoto wa malikia
 
Rusmus ndo striker chaguo la kwanza hahahh ziaid ya energy ya kukimbia hana kitu kingine anacho offer kwa uwanja hawezi kukaa na mpira hawezi kutembea na mpira kuanguka tu.
Skills za martial angekua nazo huyu dogo labda angekua hatari ila kwa sasa hapana nehie...

Ndo mana sometimes kipara anamuanzisha martial maana pamoja na uvivu wake anaweza kukaa na mpira hata sekunde kumi.
 
Kwa mtu anayejali afya yake ya akili hili litimu ni la kukimbia.

Wamiliki hawajielewi, miaka 10 ya kutoa pesa tu bila kuwa na ramani ya kufika nchi ya ahadi.

Wachezaji hawajitumi kuendana na mishahara wanayolipwa, uwezo mdogo, uvivu.

Karibuni sana Brighton & Hove Albion.
wengine hii timu ndio pombe yetu, kahaba wetu, gari yetu ya kutembelea n.k
hata tukishuka daraja panapo majaaliwa utanikuta kwenye hii thread.

tukiamka na mzuka wa kumtukana kocha tutamtukana,
tukiamka na mzuka wa kuwatukana wachezaji tutawatukana.

Brighton shabikia pamoja na hamis77
mchukue na ze-dudu ambaye bado ana hasira ya muarabu kunyimwa timu
tuachieni timu yetu na pira letu kharaaam
 
Tunataka tukuchukue na wewe
wengine hii timu ndio pombe yetu, kahaba wetu, gari yetu ya kutembelea n.k
hata tukishuka daraja panapo majaaliwa utanikuta kwenye hii thread.

tukiamka na mzuka wa kumtukana kocha tutamtukana,
tukiamka na mzuka wa kuwatukana wachezaji tutawatukana.

Brighton shabikia pamoja na hamis77
mchukue na Ze Dudu
tuachieni timu yetu na pira letu kharaaam
 
Nyie kila msimu ni wasindikizaji tu yaani mmeshindwa kusonga mbele kwenye kundi lenye timu kama Kobenha na Galatasaray kweli, NYUMBU kweli nyie.
 
mwaka 2005 pia tulishika mkia
1702420658811.png
 
𝗥𝗘𝗖𝗢𝗥𝗗: Manchester United have become the first English side in history to concede 15 goals in the Champions League group stage.
timu inaacha kusajili vyuma kama akina Tielemans na Maddison tena free, unaenda kusajili mizoga kama mount.....acha wabondwe tu na jumapili kuna balaa linaenda kutokea kwa onana pale anfield
 
Back
Top Bottom