D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,646
- 121,056
Bayern tupeni goli dakika ya 93, sisi wengine hatuwezi kushikilia bomba hata kwa sekunde 180
Afadhali limeingia zimwi,Tuchel mtoe musiala,
Atatuua huyu mjinga.
Hajui fair play ni nini
Kila mtu ashinde mechi zake,Copenhagen anaongoza 1-0
Haya wahuni wa bavaria nao wanaongoza 1-0Kila mtu ashinde mechi zake,
Mechi zilikuwa 9 kwa kila upande
inaumizanl sana alafu ndio tunasema big talent yetu....gone are the days we used to be a tertiary institutions of talents.Sidhani kama kuna dribbling aliofanikiwa mdogo wangu garnacho
tuchague kuuza wachezaji 22 au tutoe kocha mmoja?Kila mtu ashinde mechi zake,
Mechi zilikuwa 9 kwa kila upande
😃😃😃👐Nilale tuuTen hag nae haeleweki .... Muda tunaohitaji sub hafanyi ila tumefungwa anafanya sub za nini?..