Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,825
- 4,729
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]T
Tupeni taarifa jamni wengine tupo mbali na TV...vp wametwangwa ngapi [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]T
Tupeni taarifa jamni wengine tupo mbali na TV...vp wametwangwa ngapi [emoji1783][emoji1783][emoji1783]
Mkokoteni mbovu huo umekutana na mkokoteni mbovu mwenzake
Unaweza kuzani unaota ila ndo hivyo😅Watoka kumfunga Chelsea halafu leo tunapigwa kijinga kama hivi.
Unasema?😂😂😂😂Leo Manchester inashika nafasi 5
In ETH we trust 💪
Kuna organism anaitwa Bonnie Gold huwa anakuja kutujazia nzi kwlikwli kule kwny jukwaa letu....halafu huku kwake kunawaka moto🤠🤠....binadamu ni viumbe wa ajabu sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani mlivyocheza na Chelsea mlicheza vizuri au mlibahatisha matokeo mazuri tu.Watoka kumfunga Chelsea halafu leo tunapigwa kijinga kama hivi.
Ndio maana nilisema Man U vs Chelsea kuwa mikokoteni miwili mibovu imekutana OT
3 Nyumbani ni nyingi sana🤠🤠🤠....wanachezajechezaje Hawa...kumbe niliwakejeli Nyukesto bure walivyodundwa na Hawa madogo...hawakuotewa kumbe3 kwa 0
waoneeni huruma asee,watakimbia humuBayern kapigwa 5 huko hasira atazimalizia old Trafford and then Liverpool anawasubiri Anfield [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
4444443 Nyumbani ni nyingi sana[emoji1783][emoji1783][emoji1783]....wanachezajechezaje Hawa...kumbe niliwakejeli Nyukesto bure walivyodundwa na Hawa madogo...hawakuotewa kumbe
Goaaaaalllllllll 4 Nil mamamamamaeToa Bruno weka Pelistri