bin mudrish
Member
- Jan 8, 2019
- 8
- 5
4444443 Nyumbani ni nyingi sana....wanachezajechezaje Hawa...kumbe niliwakejeli Nyukesto bure walivyodundwa na Hawa madogo...hawakuotewa kumbe
4444443 Nyumbani ni nyingi sana....wanachezajechezaje Hawa...kumbe niliwakejeli Nyukesto bure walivyodundwa na Hawa madogo...hawakuotewa kumbe
Goaaaaalllllllll 4 Nil mamamamamaeToa Bruno weka Pelistri
🤣🤣🤣...shida walimjaza Kipara baba Ubaya kwa kumpa ukocha wa mwezi eti...mi nimebisha sana na kuna mdau wa Manunu akanikasirikia kabisa kwa kumtweza baba Ubaya....tunamsema Ten Hag kwa sababu tunawatakia mema Manunu...tukikaa kimya mtadumbukia kabisa shimoni....fukuzeni hyo jamaa kabla aibu ya mwaka haijawakumba pale Anfield....mwaka jana 7 na kipa De Gea...safari hii na hyu Onana...hakyanani watasusa Uzi wao mazima hawa444444
Huyu hastahili hata kupewa hata dhamana afungwe tuu😡Manure amebakwa kirahisi sana
In ETH we trust
Tunamtaka Flano aonekane kwnza ndo uchambuzi ujehamis77 karibu kwa Uchambuzi wako uliotukuka kuhusu Tapeli ETH na Onana wake
mmeshinda 3-0GGMU
🎵DEAR GOD
Mungu tupe nguvu ya ushindi, maadui ni wengi kina arsenal, liverpool na chelsea vile vile
Mpe akili Antony, onana na rashford vile vile
Tushinde 3:0, chelsea, liverpool, man city, arsenal wapigwe vile vile
Amen🎵