Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,158
- 123,232
Nimependa pressing ya leoIngawa ninaangalia kwa kuchungulia at least leo tunapiga walau pasi zinaenda,pressing inafanya kazi, ila finishing ndio tatizo lililoshindikana
Nimependa pressing ya leoIngawa ninaangalia kwa kuchungulia at least leo tunapiga walau pasi zinaenda,pressing inafanya kazi, ila finishing ndio tatizo lililoshindikana
Sisi HATUELEWEKI FC, bora utulie brotherWeek ijayo mnakuja Anfield
Nikiwakosa sana sana sana ni 3-0
Nyie wapumbavu tu,team hamna
Timu yetu bado asee. Leo tulikuwa tunashinda nyingi. Kule mbele bado sana.Ingawa tumepata points 3 ila Man Utd tuna shida sana ya kutumia nafasi za wazi tunazopata ndio maana mpaka leo bado tuna GD 0, kwa nafasi tulizopata Chelsea alikua anakufa sio chini ya goli 4.
Japo tumeshinda ila mpaka kipenga cha mwisho kinapulizwa mashabiki tulikuwa roho mkononi.
ETH ni genius.Timu yetu bado asee. Leo tulikuwa tunashinda nyingi. Kule mbele bado sana.
Ni kama dalot mimi namuonaga ni stricker kabisaa wakucheza ata namba 9 ukoTeh teh teh
Kwanini tominay anacheza 6 aisee yule ni 10 kabisa![]()
Hahahaa usiogope Jombaa tutakaa sawa tu. Sijawahi kushuhudia kocha anafanya kazi ktk mazingira yenye vita nyingi sana kuanzia waandishi wa habari, baadhi ya wachezaji na mashabiki wa timu pinzani na ndani kama Ten Hag.Ingawa ninaangalia kwa kuchungulia at least leo tunapiga walau pasi zinaenda,pressing inafanya kazi, ila finishing ndio tatizo lililoshindikana
Rashford awe anatokea benchi tu.Ni heri Hojlund asiyefunga kuliko Rashford aliye kwenye form.
Ni muda sasa Mctalanta awe anapangwa namba 9 pindi Rasmus akiwa majeruhi kuliko kumtegemea Rashford na Martial
Chelsea tumeanzisha kampeni yetu ya KIMBIZA MWIZI ambayo inakwenda kuanza leo 6 Desemba kwenye mechi dhidi ya Red devil wa mchongo kila anayekuja mbele yetu sisi tunalala nae hata kama ana ukimwi.
Matokeo ni mawili tuu Chelsea kushinda au mpinzani kushindwa.








Huyu dogo hajifunzi kuacha uchoyo. Timu ina GD 0 badala ya kuwekeza nguvu na ushirikiano pamoja timu ishinde goli za kutosha yenyewe yanaendekeza uchoyo kule mbeleHii game ukiacha ile penati tuliyokosa tulistahili kushinda goli nyingi zaidi ya hizi mbili
Garnacho peke yake tu kapoteza nafasi zaidi ya tatu.