Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sky Sports chief reporter Kaveh Solhekhol, the Manchester Evening News' chief Manchester United correspondent Samuel Luckhurst, The Mirror's David McDonnell and Rob Dawson of ESPN have all been blocked from joining Ten Hag’s press conference this afternoon
 
Bado amja mtaka zidane ? Uzuri wa kufundishwa na kocha anae jua na mwenye mafanikio kuliko pimbi zote za first eleven ya nyumbu
 
Bado amja mtaka zidane ? Uzuri wa kufundishwa na kocha anae jua na mwenye mafanikio kuliko pimbi zote za first eleven ya nyumbu
Zidane alisema anasubiri ofa kutoka timu inayotaka kushinda na yenye uwezo wa kushinda.

Ukiitazama Nyumbu FC vizuri unaona ni timu yenye watu na mazingira ya kuwezesha hilo?
 
Acha uongo Ally Pipi ,Arsenal hata tukisare mnakuja Kama mafuriko


Kwa Chelsea na Liverpool nakubali kabisa wanaishi kwa amani Sana ,hata wakiwa ovyo

Angalau Chelsea kidogo wanashtuliwa

Arsenal na manjesta huwa hapakaliki
Siyo kweli watu wanajazana jukwaa la Arsenal kwa sababu ya mdomo wenu na kuzurura kwenye majukwaa mengine mkitamba
 
#mufc statement:
“We’re taking action against a number of news organisations today, not for publishing stories we don’t like, but for doing so without contacting us first to give us the opportunity to comment, challenge or contextualise.

We believe this is an important principle to defend and we hope it can lead to a re-set in the way we work together.”
 
Kaveh Solekhol

"Apparently Ten Hag has lost the faith of around 50% of the dressing room with many of the players complaining they "do too much running" during training and "don't understand what they're running for".

Amongst other complaints were the fact Ten Hag is too set in his ways and many of the players think that the Sancho situation has gone on far beyond what is reasonable."
 
huyu kweli anastahili ban. namna alivyoleta ripoti yake inamchafua sana kocha.
 
Mashabiki wana kama homa za msimu. Wakishinda wanasahau yote, wanaanza na usumbufu.

Wakishapoteana sasa ndo wanaanza kutafutana wenyewe kwa wenyewe.
 
Bado hamjasema
 
Sasa subiri leo tuwabomoe ninyi Manundu FC goli za kutosha ,mtaukimbia huu uzi wenu na hamtaleta pua zenu tena humu , huu uzi tunauteka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…