Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Anakula zake 350k p/w wasiwasi wa nini timu lenyewe bovu?

Rashid Makame nae soon atapata kitambi maana 450k p/w sio haba

Martial ndo kabisa, anakula zake pensheni hadi mkataba uishe

#Jijiemyu
 
Kuna mount hamis77 anamuita mfanyakazi hewa

Casimiro, Ericksen wanakula tu posho. Mungu awape Nini Tena
Mount alishamaliza career yake Chelsea

Manjesta kaja kula mafao tu

Ana mwaka mzima hajawahi kufunga wala ku assist goal
 
Ten hag ni kocha ambae bado tunamuhitaji Sana EPL

Tuachane na kelele za jf, mashabiki wengi huko duniani Wala hawana noma nae
 
Ahaaaa huwa nikikumbuka comments za Ronaldo na Mourinho, naamini Nyumbu wana miaka 20 kurudi angalau kugombea ubingwa...

Sioni wakiwa na Project yeyote ya maana.
 
Ni kama tulikua pungufu tu jana rashford alikua ball boy huku martial akiwa kibendela
Eti rashford ana potential kubwa we all saw him last season
Umri wake bado ni mdogo.Ndo kwaanzaa Chidi ana miaka 20. Bado ana potential kubwa, mengi ya kujifunza pia.Mpeni nafasi, acheni pupa.

Kuhusu (7+3)HAG, huyu aaongezewe mkataba mapema kabla Real Madrid, Bayern na PSG hawajambeba.

Mimi nawakumbusha kuwa mnatakiwa kuwapa Monaco £ 7.2 millions kama ads on, endapo Martial atashinda ballon d'Or
 
Ahaaaa huwa nikikumbuka comments za Ronaldo na Mourinho, naamini Nyumbu wana miaka 20 kurudi angalau kugombea ubingwa...

Sioni wakiwa na Project yeyote ya maana.
Mourinho hanaga mbambamba

Cr7 akaja kupiga kwenye mshono
 
Ten hag ni kocha ambae bado tunamuhitaji Sana EPL

Tuachane na kelele za jf, mashabiki wengi huko duniani Wala hawana noma nae
Allypipi ana nguvu sana na ndo mshabiki wa kweli wa Manunu maana ana matumaini ya aiabu kwlikwli....ila Flano bahari imechafuka kidogo tyri kala Kona🤠🤠🤠....tunamtaka humu vipindi vyte....furaha au huzuni awepo
 
Allypipi ana nguvu sana na ndo mshabiki wa kweli wa Manunu maana ana matumaini ya aiabu kwlikwli....ila Flano bahari imechafuka kidogo tyri kala Kona
....tunamtaka humu vipindi vyte....furaha au huzuni awepo
Flano utamuona jioni au usiku
Jamaa atakua mlinzi somewhere

Allypipi yeye ameamua kujitoa ufahamu mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…