Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maajabu leo moyes kapata aklili mapema ya kumuingiza kagawa na kumtoa cleverley
 
Huu mpira wa kila mkishambulia ni kukimbilia hadi kwenye kibendera then unatia cross umepitwa na wakati sanaaaaa
Moyes tafuta tactics mpya
 
In the last 20 mins Mata has lost the ball on at least four different occasions! Not the norm from him.
 
United wachezaji awana nguvu kabisa nawaonea huruma sku wakicheza na Munich
 
Huu mpira wa kila mkishambulia ni kukimbilia hadi kwenye kibendera then unatia cross umepitwa na wakati sanaaaaa
Moyes tafuta tactics mpya

Hatariiii ..mbinu mpya ni kuwa mabondia
 
Attachments

  • 1395781724025.jpg
    1395781724025.jpg
    11.6 KB · Views: 81
Kocha anaacha kuingiza wachezaji wenye speed anaingiza wajinga kama kagawa
 
Kocha anaacha kuingiza wachezaji wenye speed anaingiza wajinga kama kagawa

Hapo unakosea Mkuu. Kagawa ni mchezaji anaesaidia kumiliki mpira. Timu haiwezi kucheza mpira wa kukimbiza kama mpira wenyewe hawana.
 
Back
Top Bottom