Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Subs:-Lindegaard, Büttner, Fletcher, Kagawa, Young, Valencia, Hernandez
 
Mkuu tungeshinda lakini ujinga wa moyes umeonekana mapema sana kwenye line up. Hivi huyu cleverly amefata nini hapa uwanjani na ni watu wangapi wako nje kwa ajili yake. Na kosa lingine hii mechi hatuna wawinga tutagungaje magoli kupitia hapo katikati kwa kompany??
man u tunashinda hii mechi ya leo.
 
Giggs kacheza mechi moja juzi anatoa pasi za mwisho za maana za magoli. Cleverly kacheza mechi 20 kafunga goli moja na hajawahi kutoa pasi hata moja ya goli..poor moyes
bora angeanza giggs au fletcher huyu cleverley ana bahati sana
 
Mkuu ukiujua ukweli na ukaukubali ukweli huo unapata amani sana...under moyes hacha kabisa kujipa matumaini twende tukaangalie game tukiwa na moyo mweupee kwamba tukifungwa sio jambo la ajabu na wala sio bahati mbaya...ila kama ikitokea TUKABAHATISHA tukawashinda Man City tushangilie sana...
I am telling you brother huyu jamaa na bench lake la ufundi wametuaribia timu ni bora tufungwe tu..ili aondoke tu..ila ushindi nao naupenda

umeongea kweli tupu hapo sikupingi,
 
Yaani moyes kanikera mno kwa nini kamuweka kagawa nje ina maana cleverley ni bora kuliko kagawa??? Dah huyu jamaa sijui nani huwa anamshauri selection yake ya timu
 
Hawa man city inaonekana wana moto sana inabidi atafutwe mtu awatulize spidi yao.
 
Na mpinzani wetu wa uefa bayern munich yuko ugenini kwa hertha berlin kashampiga 2-0 ht. Akishinda hii mechi ya leo anatangazwa bingwa wa ujerumani...hatari
 
Yaani moyes kanikera mno kwa nini kamuweka kagawa nje ina maana cleverley ni bora kuliko kagawa??? Dah huyu jamaa sijui nani huwa anamshauri selection yake ya timu

Hii game Flecher ndio ingemfaa Kagawa,Cleverley hawawezi hii mechi
 
Kutokupanga mawinga kunawapa uhuru mabeki wa pembeni wa man city kucheza kama washambuliaji bila hofu
 
Afadhali valencia anaandaliwa tumeshinda hii mechi
 
Hii game Flecher ndio ingemfaa Kagawa,Cleverley hawawezi hii mechi

hilo mosi pili mimi nilijua kuumia kwa rvp kwa njia moja ama nyingine kungemrahisihia kazi ya kupanga kikosi kwa maana angemuweka na. 10 ama mata au kagwa na rooney acheze mbele matokeo yake kumi kaenda kumpanga fellaini dah im little bit disapointed with this.
 
Back
Top Bottom