Mkuu acha kuongea huu uozo.Anthony Martial kaanza nae huwa ana rekodi nzuri ya kuwafunga Everton
Hawezi, natamani United tubadilishane na Thimba. Watupe Kibu tuwape Masho.Samahani mkuu,hivi huyo Martial kwa timu za hapo Dar anaweza kupata hata Namba?
Bora ukutane na City lakini sio Everton iliyopo relegation zone.Sio shida zetu sisi tumekuja kuchukua point tatu muhimu chini ya maelekezo ya shirikisho la soka uingereza kwa maana hawa ni matapeli
Bora ukutane na City lakini sio Everton iliyopo relegation zone.
🚮🚮🚮Mkuu acha kuongea huu uozo.
Rashford karudiana na demu wake ataacha nyeto huyo mshenzi aanze kufunga tena.Leo MannUtd tunaanza ligi rasmi.
Na goal la msimu kabisaGernacho ameleta goal bora la mwezi November 2023
Binafsi naona Rashford hawezi ku-improve zaidi ya hapo alipofikia.EtH akituwekea Pellistri huku kulia na Rashford akaa benchi kutakuwa na shida gani??
Huyo dogo Facundo ni moto wa kuotea mbali.EtH akituwekea Pellistri huku kulia na Rashford akaa benchi kutakuwa na shida gani??