Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,480
- 235,146
Utapeli wameanza kitambo[emoji23]Zamani nilikua nasikia mtu katapeliwa Kariakoo kwamba kanunua Simu kufika home anakuta sabuni
yaani ukimuangalia Antony utaamini ni kweli utapeli upo tangu enzi za nyerere [emoji16][emoji16][emoji16]
Congo-Brazilian material [emoji1490]View attachment 2815494
Wanaibia watu Posta [emoji38]