Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Standard yetu ya kiuchezaji imeshuka sana, walipotuona hatuna madhara hawa jamaa kuanzia dakika ya 25 wakaamua kwenda jino kwa jino dhidi yetu.

Walipocheza na liverpool muda wote walikuwa nyuma.

Tuna timu ya kucheza EUROPA na CONFERENCE LEAGUE.

Tusipumbazane
Umeangalia mpira??? Naona umeongea kinyume. Ya Liverpool umeyakweka Man U na ya Man U umeyaweka Liverpool. D A E M U S H I N
 
Umeangalia mpira??? Naona umeongea kinyume. Ya Liverpool umeyakweka Man U na ya Man U umeyaweka Liverpool. D A E M U S H I N
Nimeangalia walipocheza dhidi ya liverpool.
Screenshot_20231112-105949_Google.jpg

Nimeangalia pia mechi ya jana,
Screenshot_20231112-105903_Google.jpg
 
Amenifanya nimekuwa shabik wa getafe kila ninapomuona nikikumbuka tumebaki na antony😃😃😃ni huzuni kwel kwel
Nadhani baada ya hii break ya international matches Amad atakuwa amerudi, tutakuwa na choices za kutosha ule upande, Pellistri, Amad, Antony, Rashford (Ikitokea kama jana).

Point 3 za jana zilikuwa muhimu sana, Brighton na Aston Villa yoyote akidondosha point leo itakuwa vizuri sana.
 
Tatizo ten Hag hawezi kukubali kumuacha kipenzi chake nje
 
Kusema kweli Rashford anatukaba sana ni vile tu mwalimu hana chaguzi za maana kwenye ile nafasi. Siku akijilipua akamwamini Amad,Pellistri au dogo mwingine tungeona tofauti kubwa sana kiuchezaji hasa katika idara ya ushambuliaji.
 
Back
Top Bottom