Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

leo naona Chalsea, Liverpool na Arsenal wanaomba Manchster United amfunge Manchester City, ili wampunguze makali
 
Inaonekana Moyes anakamzizi mashabiki 2liomba sana Man ifungwe zile mechi 2 ili atimliwae na aje kocha mwenye kiwango lkn doooo wameshida zote na jamaa ataendelea kuwa kocha kwaiyo presha iko palepale
 
dah so sad yaani hili linaumiza sana mi nahissi bado viongozi wa man u wanapaswa kufanya uamuzi wa busara wa kumtimua hata ikitokea kwa bahati tukashinda mechi zetu zote za ligi zilizobaki
 
Man utd leo watajuta....

Kwa sisi mashabiki wa MUFC hatushangaa sana kufungwa na man city leo..ingawa tutafurahi kama tutashinda sababu tufuta uteje...ukweli utabaki pale pale Moyes hana mbinu za kuindaa Man United kuifunga Man City ila uwezo binafsi wa wachezaji kama Rooney, Kagawa, Evra, Jones na De Gea ndio watuletee ushindi otherwise iko wazi kuifunga Man city ni ndoto tu tunayoiota mashabaki Man U...
 
Inaonekana Moyes anakamzizi mashabiki 2liomba sana Man ifungwe zile mechi 2 ili atimliwae na aje kocha mwenye kiwango lkn doooo wameshida zote na jamaa ataendelea kuwa kocha kwaiyo presha iko palepale
Umeona enheh!! Hata mimi nilikua naomba tufungwe gemu tatu mfululizo lakini imeshindikana. Kilichobaki tumuunge mkono tu ili tushinde mchezo wetu wa leo. Ila ukweli ubaki pale pale "MOYES sio Kocha wa kiwango tukitakacho mashabiki".
 
Inasemekana huyu old fani wa Man u holds one of the expensive season tickets at Old Trafford.

In his rant analalamika kuwa mafani kama Nzi ndiyo wanaompa ujiko Moyes na kudhani yuko cloud 9.

Is he telling the truth and nothing but the truth? cc Mbu, Mentor, Belo, Peasant

Has Moyes ripped the heart out of the team?

Has he ripped the soul out of it?

Has he ripped the passion out of it?

Well, tutajua leo usiku.

[video=youtube_share;zy8LdGQt_6Y]http://youtu.be/zy8LdGQt_6Y[/video]
 
even if ila kuifunga man u ot sio kazi rahisi

But kumbuka kuna kipindi ilifika wakati watu walikuwa hawapendi kabisa kuchezea uwanja wa Nyumbani na kama sijakosea mmefungwa mechi nyingi za nyumbani msimu huu kuliko zile za away.
 
even if ila kuifunga man u ot sio kazi rahisi kihiivyo kama mnavyodhani hasa ukizangatia mechi ya leo ni derby antything can happen. though man c is favourite to win

Mkuu hizo za huwezi kuifunga Man U Ot zimebaki story...Moyes katusaidia kuitoa hiyo bikra siku hizi kila mtu anajipigia tu...
Man U imekua kama kidemu cha kitaa tu, kila mtu anajipigia...makonda, masela, mafundi viatu, wacheze ndondo etc..akikutosa leo usikate tamaa eti ukamuona ni bonge la demu lenye msimamo we mkomalie tu kesho ake utamuona anang'ata vidole ukikaza tena kidogo huyo kiulaini anakupa tu..hana noma haijarishi yuko home au away..
 
But kumbuka kuna kipindi ilifika wakati watu walikuwa hawapendi kabisa kuchezea uwanja wa Nyumbani na kama sijakosea mmefungwa mechi nyingi za nyumbani msimu huu kuliko zile za away.
nayajua yote hayo ila kufungwa na man city au liverpool tena nyumbani ni kitu ambacho man u hawawezi kukubali labda tuzidiwe uwezo.otherwise tutapambana mpk tone la mwisho
 
Mkuu hizo za huwezi kuifunga Man U Ot zimebaki story...Moyes katusaidia kuitoa hiyo bikra siku hizi kila mtu anajipigia tu...
Man U imekua kama kidemu cha kitaa tu, kila mtu anajipigia...makonda, masela, mafundi viatu, wacheze ndondo etc..akikutosa leo usikate tamaa eti ukamuona ni bonge la demu lenye msimamo we mkomalie tu kesho ake utamuona anang'ata vidole ukikaza tena kidogo huyo kiulaini anakupa tu..hana noma haijarishi yuko home au away..
mkuu mbona unkata tamaaa mapema kumbuka hii ni derby eehh haijalishi nani na nani katufunga likija kwenye suala la derby inakuwa ni swala jingine kabisa.
 
mkuu mbona unkata tamaaa mapema kumbuka hii ni derby eehh haijalishi nani na nani katufunga likija kwenye suala la derby inakuwa ni swala jingine kabisa.

Mkuu ukiujua ukweli na ukaukubali ukweli huo unapata amani sana...under moyes hacha kabisa kujipa matumaini twende tukaangalie game tukiwa na moyo mweupee kwamba tukifungwa sio jambo la ajabu na wala sio bahati mbaya...ila kama ikitokea TUKABAHATISHA tukawashinda Man City tushangilie sana...
I am telling you brother huyu jamaa na bench lake la ufundi wametuaribia timu ni bora tufungwe tu..ili aondoke tu..ila ushindi nao naupenda
 
Haya hayaaaa bado dakika 45. Moyes kama kawaida leo atatufurahisha tena fellain leo atawabana sana hawa warugaruga..
 
Da gea.rafael.ferdinand.jones.evra.carrick.cleverly.felaini.mata.welbeck.rooneeeeeeyyyyy.
 
Back
Top Bottom