𝐓𝐀𝐊𝐀 𝐓𝐀𝐊𝐀
.........Erik Ten Haag Kufundisha Huyu Mtu Na Watu Wake Wale Wavivu Ni Kazi Sana Na Bahati Mbaya Kwake Alio Wasajili Wameingia Kwenye Mfumo Wa Kundi La Huyu Mwamba Jinga La Malkia Eliza.
Marcus Rashford Ana Mechi Ya 14 Kati Ya 15 Mpaka Sasa Hakuna Kitu Alichokifanya Na Ndie Mshambuliaji Tegemezi Pale Manchester United Na Ana Goli 1 Na Assists 2 Huwezi Kuta Mashabiki Wakiliongelea Hili.
Ten Hag Akisema Amuweke Benchi Mashabiki Wanalalamika Akimuanzisha No Impact Yeyote Kwenye Timu Huyu Ni Muuaji Mkubwa Wa Team .
Rashford Kukaba Kwake Tabu
Kuwapita Mabeki Kwake Tabu
Kukokota Mpira Kwake Tabu
Kufanya Pressing Kwake Tabu Bado
Kutoa Pasi Kwake Shida Vile Vie
Ndie Mchezaji Aliebadilishwa Nafasi Nyingi Pale Mbele Bado Goli Halioni.
Anacho Kifanya Ten Hag Ni Kumtumia Hivyo Hivyo Na Sio Kwamba Anamkubali Wala Nini Ila Dogo Kashikilia Mpini Na MBE Yake .
Kocha Aliyemtimua Ronaldo Kama Top Score Wa Timu Hawezi Mvumilia Rashford.
Sent from my SM-A047F using
JamiiForums mobile app