Bado, tuna nafasiGary Neville criticises decision to sign Antony for £85m insisting 'it was NEVER a deal to do in those circumstances' [emoji15]
Kila la kheriBado, tuna nafasi
Makosa yapo mengi lkn hayaashirii mwisho mbaya.
"Always there's a room for improvement "
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Onana finally has a room mate.
View attachment 2799389
Hahaha, na nyinyi si mlikua washiriki wa hilo Coroboi!Fulham anajiandaa kuyachinja haya mashetani.
Wachambuzi uchwara mmetokomea kusikojulikana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kipindi mmebeba lile Coroboi mlikuwa hamkauki humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Man Utd ni Azam watupu!
Endelezeni sasa ule uchambuziHahaha, na nyinyi si mlikua washiriki wa hilo Coroboi!
Kipara ni fundi! Baadhi ya misimamo yake ndio inamgharimu yeye na timuEndelezeni sasa ule uchambuzi
Kuchambua ufundi wa kipara
Ngoja tuendelee kuona ufundi wake Mzee wa gengeni pressing [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipara ni fundi! Baadhi ya misimamo yake ndio inamgharimu yeye na timu