mwanauvinza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 365
- 1,060
Kwa hiyo kuhama kwako ndio unatuita NYUMBU jamaa zako duuuhFulham walituzuia Brighton GW iliyopita, leo wapo na Ipswich (moja ya timu bora Championship) wanawafundisha mpira. Weekend hii nyumbu mtakutana na Palhinha.



