Trey huwa anafurahisha Sana[emoji1787][emoji1787]
Maguire
Kwa hiyo kuhama kwako ndio unatuita NYUMBU jamaa zako duuuh[emoji1787][emoji1787]Fulham walituzuia Brighton GW iliyopita, leo wapo na Ipswich (moja ya timu bora Championship) wanawafundisha mpira. Weekend hii nyumbu mtakutana na Palhinha.