hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,659
- 27,507
Content ya Nani hiyo ,wewe manjesta ishakuchanganya akiliMwingine anaweza kusema anatumia mbinu hiyo ili kubypass press ya wapinzani wao kwenye msitari wake wa pili wa ulinzi.
Unapochukua content za watu uwe unatoa credit na una copy kama zilivyo siyo kuchagua zinazokufurahisha wewe tu.

Watu aliowataka wote ndiyo wanatoa burudani barani Ulaya.

