Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ukizowea ushindi wa bahati kila eneo linaloonyesha dalili ya uvujaji utalisingizia kuwa ni tatizo.
  1. utasingizia majeruhi yanakuandama
  2. utasingizia huna mshambuliaji wa asili
  3. utasingizia huna controller
  4. utasingizia huna goal keeper anayejua kucheza (sweeper)
hata unapoletewa chanjo, bado tutaiona si lolote
ok tumeshakuletea sweeper,
wachezaji wamesharudi kwenye majeruhi,
blah blah! nyingi.

kocha wetu anapenda shortcut (kwake yeye alama 3 ndio jambo muhimu)
mpira wa leo haupo hivyo
 
Amrabat sio kiungo level ya United, mount, timu haina kiungo kizuri.
Timu bora lzm iwe na kiungo imara, na midfield phase ndio inaamua style of playing.
Kocha apewe wachezaji dirisha dogo na kubwa.
Tutajipata, arteta mwenyew top four kaingia baada ya msimu mnne kupita kavu
 
Hivi Hadi kuwafunga Copenhagen, Sheffield,Burney ,Luton convincingly inawahitaji Grazzer family?

Tuliambiwa Amrabat Ni Kiungo anayekuja kutibu matatizo, Jana dk 45 ulimi tai akapigwa sub

Screenshot_20231025-092434_1.jpg
 
Harry maguer
Ni kama hadeeth ya CHAUPELE vile

Wale waliozaliwa miaka ya 2000
Ni ngumu kujijua hadith hii

Afadhali kdg waliozaliwa miaka ya 93 kurud chini

Ni yule kijana alietaka Kuachwa ktk Sfr ya maisha ya Dada yake
Akaenda kizarizari
Mwishowe Akaja kua msaada mkubwa ktk kuokoa uhai wa Dada yake na wengineo.

Hii imefanana na Huyu kiumbe Harry Maguer
Walishakusudia kumuuza Lkn wanunuz ss ndio ikawa Shida
Wakafika ATUA ya kumtoa kwa mkopo Lkn pakakwama Kdg tu.

Leo hii amewapa ushindi wa kwanza ktk uefa champions league
Ili kua lazima washinde ili Kurudisha hali za Mashabik ktk UCL.

Hongera sana maguer Hongera man utd
IMG-20231025-WA0009.jpg
 
Martial
Sancho
Eriksen
Amrabat
van de Beek
McTominay
Maguire
Bissaka
Reguilon
Evans

Hawa wachezaji wasiwepo msimu ujao. Garnacho achukue nafasi ya Rashford. Pesa ya Sancho tusajili RW: napendekeza asajiliwe Olise. Tusajili viungo siyo chini ya wawili. LCB & RCB pamoja na RB. Ikiwezekana na back-up striker.
 
Tumewalipia kwa Sevilla


Mikel Arteta on Arsenal win vs Sevilla:

"I'm very happy to win here. There are not many teams have won here in the last ten years in Europe and we've done it."
20231025_094909.jpg
 
Manyumbu wakiendelea kushinda shinda hivi wataleta shida. Nadhani ni vizuri wakianza kuchezea vichapo tena. Ikiwezekana wapigwe kama game 3 mfululizo au hata 5 halafu waambulie visare viwili vitatu na vipigo virejee
 
Manyumbu wakiendelea kushinda shinda hivi wataleta shida. Nadhani ni vizuri wakianza kuchezea vichapo tena. Ikiwezekana wapigwe kama game 3 mfululizo au hata 5 halafu waambulie visare viwili vitatu na vipigo virejee
Mbona ipo wazi ratiba yao ina vidagaa Kama vinne hivi,

Cha ajabu had hivo vidagaa vinawatoa Jasho ,baada ya vidagaa wataanza kukutana na mancity , Newcastle,Bayern , Liverpool, Astonvilla , Chelsea ,

Hapo watapigwa zote
 
Mbona ipo wazi ratiba yao ina vidagaa Kama vinne hivi,

Cha ajabu had hivo vidagaa vinawatoa Jasho ,baada ya vidagaa wataanza kukutana na mancity , Newcastle,Bayern , Liverpool, Astonvilla , Chelsea ,

Hapo watapigwa zote
Itapendeza sana ikiwa hivyo aisee
 
Back
Top Bottom