Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,877
- 16,453
Ndugu yangu allypipi mpaka dakika hii sijaona umeweka prediction yoyote [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kweli leo Man Utd inacheza halafu dunia nzima imejaa majonzi kwa yale yanayoendelea Ukanda wa Gaza.
Kuliko kudhalilishana kwani Mancity tukiongea nao vizuri hawawezi kukubali tukawapea tu ushindi wa mezani halafu sisi tukaendelea kuomboleza vifo vya watoto wachanga wanaouliwa Gaza kila kukicha bila ya hatia yoyote?