Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

MWAMBA HUYU HAPA

Man United walikuwa hatarini kupoteza mechi ya 3 mfululizo ya EPL kabla ya Scott McTominay kuingilia kati hii kesi na kumfanya ETH kushangilia kama ametwaa taji la UCL

Kiukweli haya mapumziko ya mechi za kimataifa ETH inabidi ayatumie kutafakari sana kuhusu

1: Staili ya uchezaji ya Man United

2: Utambulisho wa timu ... wanajaribu kufanya nini ?

3: Utengenezaji wa nafasi bora za kufunga za mara kwa mara ... unamuangalia Hojlund halafu unafikiria chances kwake ziko wapi

4: Wachezaji wajiangalie sana kwenye kioo kama wanafanya vya kutosha ... makosa mengi sana tena ambayo yanajirudia mno .

5: McTominay ameziba tu ufa tu leo lakini bado kuna kazi kubwa sana ya kufanya ili Man United wawe na msimu bora

Thomas na Frank na Brentford yake , kama mchezaji wako bora anakuwa / wanakuwa mabeki basi kuna shida mahala na sio leo tu bali mechi kadhaa za msimu huu kama sio mabeki wake basi viungo mara chache wamekuwa ( Mbuemo na Wissa )

Leo Kristoffer Ajer , Pinnock ( hasa huyu mwamba ) na Collins walifanya kazi nzuri sana pale walipohitajika

1: Tackling
2: Defensive headers
3: Blocks
4: Kutumia miili yao kukabiliana na wachezaji wa United Physically .

AMBANGILE
 
Ethan kutokwa twitter:

The gap between the 1st & 2nd lines of our team is alarming, and blame has to lie with the #6 for such a gap. The #6 should be the link between the #8’s & CBs.

Casemiro does not provide that, nor does he provide the immense positive out of possession like he did last season; he has a 28.1% duel success rate this season which is down nearly 60% from last season. That seems to be largely down to a decline in athleticism but his engagement timing is also off. In possession he gives away so many cheap balls, too. Trying to play the ball first time instead of getting his foot on the ball and playing simple, short passes. Does not scan upon receiving the ball. Far too error-prone.

Quite simply, in this current vein of form, he is a net negative to this team. He should not be anywhere near the XI.
 
Nawakaribisha nyumbu wote kwenye hafla yetu ya kesho.. Tuungane kwa pamoja kuwacheka nyumbu wenzenu, tutokomeze huu utawala wa kipara ngoto.. Kiukweli amekuja kuiua ligi yetu!

Au mnasemaje nyumbugila?😀
IMG_20230810_223327_504.jpg
 
Mashabiki wa manjesta karibuni muone leo tunavyompiga Kaka yenu


Karibuni muone mpira mzuri

Hakika Ni Raha Sana kuiangalia Arsenal ikicheza

Ni zaidi ya kulala usiku mmoja na Kim Kardashian
 
Mashabiki wa manjesta karibuni muone leo tunavyompiga Kaka yenu


Karibuni muone mpira mzuri

Hakika Ni Raha Sana kuiangalia Arsenal ikicheza

Ni zaidi ya kulala usiku mmoja na Kim Kardashian
Kwa hio Masingeli umeamua kabisa kuwadhalilisha mashabiki wa Arsenyo kwa kuifananisha timu yao na Utamu wa Kardashiani?
Kuanzia leo Arsenyo imepata jina lingine lililo barikiwa na Masingeli inaitwa Kardashian Fc.
 
Back
Top Bottom