adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,488
- 33,541
Ni muda wa kocha kumuamini Maguire sasa awe kikosi cha kwanza ,jamaa ameshajifunza sasa anacheza kwa spirit kubwa kama Captain huku akiwapanga na kutoa maelekezo kwa wenzake vizuri.
Ile Lindelof alivyochoma Ingekuwa Maguire watu wangemtukana sana Maguire ila anko Magu ni mzalendo wa kweli wa timu yote anavumilia na bado anapambana .
Ile Lindelof alivyochoma Ingekuwa Maguire watu wangemtukana sana Maguire ila anko Magu ni mzalendo wa kweli wa timu yote anavumilia na bado anapambana .

| Gary Neville: