hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,660
- 27,510
Mm sijawahi kuwa na shaka na Pochettino ,Ni kocha mzuri mwenye tacticsChelsea tumejitafuta na tumejipata
Ni moja ya ma Tactician nawahusudu
Pep
Di Zerbi
Mikel
Pochinene
Alonso
Mm sijawahi kuwa na shaka na Pochettino ,Ni kocha mzuri mwenye tacticsChelsea tumejitafuta na tumejipata
[emoji23][emoji23][emoji23] Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.Nyie Nyumbu leo Brentford tunataka points 3 au 1
Hakuna Cha Nini Wala nini mkandwe tu[emoji23][emoji23][emoji23] Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.
Man U ilishuka daraja championship ndo itakua ligi pendwa kuliko zoteHakuna Cha Nini Wala nini mkandwe tu
Kifupi mgombee kushuka daraja
Kuna dalili ya msiba mwingine[emoji23][emoji23][emoji23] Leo hata tukifungwa sio mbaya maana tayari tunacho kitu cha kusingizia, msiba wa mke wa Sir alex ferguson mama yetu Cathy Ferguson amefariki dunia.
Kwanza kwa tamaduni zetu Afrika sio busara kuwasema wafiwa, leo tunakuomba upumzishe hilo bakuli lako, wenzio tuko kwenye huzuni ya kuondokewa na mama yetu kipenzi.
App gan nzuri ya live mkuu ,,,,niko vijjn huku hakuna bar kubwa wala kibanda umiza ,,,,,View attachment 2774494
jeremie frimpong - bayer leverkusen