Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nataka kuunda a best transition team in the world


Haya yalikuwa maneno ya 7hag

Wenye upeo mdogo walishangilia wakasahau alichukuliwa Ajax sababu ya tik Tak au total football,

Wachambuzi nguli tulionya huyu Ni average coach but tukaonekana tuna chuki ,sababu tu alishawekwa Level ya kina Pep na Klopp
 
Timu yoyote inayoweza kushinda 50/50 ,inayoweza kufanya mashambulizi kuanzia nyuma haitakubali kufungwa na manjesta ambayo haijulikani inacheza brand ipi ya football

Mtashinda either kwa msaada wa VAR Kama mechi na wolves ,forest , au kwa timu ambazo bado hazina matured players Kama Luton ,Burney


Kwa timu nyingine zikikaza kidogo zitaondoka na point haijalishi Sare au point 3


Brentford wakikaza vzr wanaondoka na point 3 weekend hii

Copenhagen niliowaona Jana wanamshambulia Bayern , nawapa tahadhari mnaenda kukutana na Surprise
 
Manjesta ya last season na hii Ni ile ile

Wanaoshtuka Sasa wanachekesha Sana ,wakati mnashinda kwa mpira wa ujanjaujanja tukawa tunasema mpira wa ujanjaujanja haujawahi kuwa na maisha marefu mlituona tuna chuki


Tofauti ya mwaka Jana na mwaka huu Ni 2 tu

Degea a best shot stopper hayupo Kuna pazia pale Golini kwasasa

Rashford alikuwa anafikia peak yake ya maisha ya soka , kwasasa karejea Default settings



But Uchezaji wa last season na mwaka huu Ni ule ule

Pass moja mbili tatu Hadi kwa Bruno Rashford Goal


Tafuteni kocha achaneni na matapeli
 
Nimeona watu humu wakimshukia Onana kama mwewe. Niseme tu timu yetu ina matatizo mengi sana ukimaliza kusolve tatizo hili linaibuka hili. Tulianza na beki tukaja kiungo, tumekuja staiker leo tumepata kiungo na straiker beki zimekuwa mbovu.

Kwa uwezo wa shoot stopping naweza sema De gea hakuna kipa anamfikia Duniani. Ila kuna aina ya mchezo De gea hawezi na ndio maana De gea wa utd na De gea wa timu ya taifa ya Espain ni watu wawili tofauti. Hicho ndio kilichomfanya apoteze number timu ya taifa rejea fainal za kombe la dunia kule kwa Putin.

Kuhusu Onana ni mtu asiyejua mpira pekee ndiye anamuona kipa mbaya. Onana kacheza na ajax yenye mafanikio, amecheza fainal ya europe legue 2017 dhidi ya utd, amecheza intermilan tumeona kiwango chake hadi fainal ya UEFA na tuliona jinsi city walivyoteseka siku ile. Onana anabahati mbaya ya kucheza na beki mbovu ya utd bahati mbaya zaidi wale beki wenye nafuu wanaandamwa na majeruhi.
Uzembe wa mabeki na uwezo wa kuzuia mpira unaingiliana vipi?? De gea alikua anazitoa nyingi tu jamaa mguuni mzuri sana ila kukaa sehemu sahihi wakati anapigiwa mpira ni tatizo.
 
Tunaendelea tulipoishia
IMG_20231004_130210_269.jpg
 
Rasmus Højlund is currently the UEFA Champions League's top scorer.

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20231004_115641_434.jpg
 
Rasmus Højlund: “It's a difficult time, but we have to stay together, it's the only way to get through it”.

“The second goal? That’s my style, my mark. That’s a Rasmus goal”.

#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20231004_115020_397.jpg
 
Erik ten Hag on Brentford: “The setback we have, the frustration we have has to be the fuel for Saturday.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Erik ten Hag on André Onana: “I think I need to talk to more players but I need to talk with André of course. I will encourage him and I have to back him. He’s a great goalkeeper.” #MUFC


[footballontnt]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
| Ten Hag on Marcus Rashford squaring it to Bruno Fernandes instead of shooting in the second half:

"That's up to Marcus. In such a moment he has to make a decision."


[TNT Sports]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
| Rasmus Hojlund: "Copenhagen? We need to get points now if we want to continue in the competition. I can't wait to play against them because it's my old club and my brothers play there."

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
| Erik ten Hag:

"Rasmus [Højlund] scored two great goals. We're happy with that but of course but we didn't win the game. He can be really happy with his goals."

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
David de Gea on Instagram

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
IMG_20231004_115541_773.jpg
 
Erik ten Hag on the loss: "We were twice up, controlling the game, and then some errors, some fundamental errors we made. You can't allow them."


[TNT]
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
| Rasmus Hojlund: "We need to remember we can't concede goals right after we score. We've had a few games now where that's happened. It's a tough period, but we need to stick together, that's the only way we'll get out of it."


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
| Erik ten Hag: “Some fundamental errors, you can't allow them at this level. We are all together, it's not only one, it's as a team we make errors. We were twice up, and you don't expect this outcome. We expect more, together, the players with me, all, together.”

#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Rasmus Højlund: "I feel happy and unhappy at the same time. It's not about me, it's about taking the three points and right now we're not good enough."


#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙎𝙝𝙚𝙞𝙠𝙝𝙅𝙖𝙨𝙨𝙞𝙢𝙄𝙣𝘼𝙩𝙈𝙖𝙣𝙐𝙩𝙙
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐

man utd |
 
Back
Top Bottom