Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mtakapokiri 7hag Ni kocha wa level ndogo ,ndio mtaanza kupata matokeo
 
Ukiondoa pasi mbovu ya Onana iliyopelekea penalty sijaona ni kwa namna gani goalkeeper mwingine angeweza kuokoa hayo magoli waliyofungwa.



Kifupi united hakuna mabeki na kocha pia haeleweki anacheza mfumo gani.
 
Huyu kocha anajiona anajua sana but he won’t survive long enough,kwann hapandishi madogo toka u23?,beki ni mbovu mno lkn anaona sawa Kwa style anayocheza you need runners ambayo hakuna kabisa,wale madogo wangemsaidia sn kuliko hawa mafadha wasiojali chochote
 

Maamuzi ya EtH kumuachia De Gea mtu aliyetubeba tukiwa wabovu miaka yote na kuleta hili takataka Onana, atayajutia muda wote.
Niliwahi kusema humu, ikafikia hatua eti ubovu wa Man Utd ukawa ni kwasababu ya footwork mbovu ya De Gea[emoji1]. Yaani katika makipa ambao waliweza kufit kwenye hii Man Utd mbovu basi alikuwa ni De Gea maana kuna mechi team inacheza vibaya ila jamaa anatoka na cleansheet, kwa huyu Onana kila shot on target ina 70% ya kuwa goli.



Tuacheni kuwa tunatafuta wachezaji wa kuwatwisha mzigo wakati hali inajionyesha kabisa kuwa team yote ni mbovu, tulianza na RONALDO akaondoka, tukaja kwa DE GEA akaondoka, sasa tumseme yupi..?
 
Niliwaambia humu ipo siku na kosi lao la kuunga unga hili watakutana na dhahama nzito wajute.
Aina ya kipa kama onana anacheza vizuri na kuonekana bora kwenye kikosi chenye mabeki wa maana (ukuta haswa), ila awe anabadilishana pasi na mabeki wake kwa kujiamini kama anavyopenda, ila kwenye team yenye ukuta mlaini kama Man Utd ambayo kila dakika inapelekewa mashambulizi, footwork itasaidia nini?


Hakuna umaana wa footwork ya gollie kwenye team ambayo ina backline ya kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…