Kwanza wataliban wanamuulizia ๐Ten hag kawazid nn hao,au mnaongea tu
Ten hag Ni kocha Mwenye uwezo mdogo yamkin anazidiwa hata na ole gunar
Haya ndio yaliyojiri jumanne kwenye Carabao Cup!๐Leo tupo kama prime Barca
Yani nyie nyumbu mnafurahi mechi moja, mechi mbili mnakimbiana๐Martial wee!!! Hili boli la leo ni burudani tu.
Mambo yalipamba moto sana mpaka tukagoma kuingia hili jukwaa๐๐๐Uzuri tulitoa onyo mapema. Palace leo hawajatimiza maagizo kwasababu ni EFL hivyo basi watakapokuja OT Jumamosi ni lazima waache points 3.
Fernandes
Mount
Casemiro
Amrabat
Tupewe nini tena sisi! Nilisema injuries ndiyo zimetuharibia, sasa watu wa kazi wameanza kurudi. Kwetu msimu ndiyo umeanza.
Unaambiwa huu ukuta wa AmraCase hapiti mtu๐๐๐๐๐๐ญ๐๐ฏ๐ ๐๐ซ๐ฎ๐๐: โCasemiro and Amrabat is going to be hard to ๐๐ซ๐๐๐ค ๐๐จ๐ฐ๐ง.โ
#๐๐ง๐ช๐จ๐ฉ๐๐๐๐๐ง๐ค๐๐๐จ๐จ๐๐๐[emoji1179][emoji3541]
#๐๐ฃ๐๐ฉ๐๐๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐๐๐ฃ๐จ[emoji2522]
#๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐จ๐จ๐๐ข๐๐ฃ๐ผ๐ฉ๐๐๐ฃ๐๐ฉ๐[emoji837]
#๐๐ก๐๐ฏ๐๐ง๐๐๐[emoji469]
#๐๐๐๐[emoji123][emoji41]
man utd |
View attachment 2763601
๐๐๐๐๐ETH is cooking
[emoji1787],nacheka kama mazuri,waliposhinda katikati ya wiki walijazana sana UJINGA humu kujipa moyo,kumbe ni kikundi cha wahuni wavaa vijora tu, mtaendelea KUGONGWA mpaka MCHAKAE NYUMBU ninyiUnaambiwa huu ukuta wa AmraCase hapiti mtu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Karma is the gift that keeps on givingL Martinez the butcher out for 3 months
Defence; varane, lindeloaf, Evans
Uefa
Ligi
Fa
Carabao
Lord Magwaya is cooking something
ana nani cha ajabu hata sehemu sahihi na muda wakupiga pasi haujui anachoweza ni kujigongagonga tatizo hamtaki kusema ukweli misimu 6 sasa rashford yuleyule habadiliki mara mwisho mlisema mzuri akitokea kushoto sahivi unasingizia timu mbona na palace ile ya cup hakuwepo tulicheza vizuri !Hamis acha kumlinganisha Rashford na vitu vya ajabu ajabu,huyo Rashford akicheza arsenal au city nani anaweza kumweka benchi ,team inacheza hovyo hovyo unataka afanye Nini ,team iki steap up kidogo Rashford LAZIMA afanye tukio