Duh! Ghafla mshafikia huku😂😂😂🙌Tukitulia tunapata one strong line up ya ku compete epl run
Injury tu ndio tatizo
Uzuri tulitoa onyo mapema. Palace leo hawajatimiza maagizo kwasababu ni EFL hivyo basi watakapokuja OT Jumamosi ni lazima waache points 3.Timu yoyote ambayo bado haijacheza na United ijiandae kuachia points 3 na wale wanaosubiri mzunguko wa 2 wajiandae kukutana na dhahma, hasa wale Arsenyani.
AmraCase🥂Watu wa kazi chafu.
View attachment 2763576